Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Status
Not open for further replies.
Leo wapinga Uislam mpo na Waislam, amma kwa hakika Uislam una nguvu za ajabu.

FF mimi kutokua muislamu haimaanishi siupendi au naupinga uislamu maana katika mfumo wangu wa kuabudu sijawahi kuathiriwa na uwepo wa uislamu.Na maisha yangu naishi na waislamu na ndio marafiki zangu wakubwa.ndio maana nikasema hata ikianzishwa sidhani kama itaathiri imani yangu au mfumo wangu wa kimaisha.So ianze tu kwa sababu kama nyie mtakua Happy kwa uanzishwaji wa mahakama hiyo basi itakua ni neema kwa nchi yote.
 
Hapa ndipo ninaposhindwa kuwaelewa waislamu.
★kwanza,unawezaje kulinganisha maakama ya kadhi na mahakama ya ardhi au biashara?! Mimi James nikichukua ardhi ya Juma basi Juma atanishtaki mahakama ya ardhi,na mwishowe Juma atapata haki yake! Sasa je Juma akiamua kunipeleka mahakama ya kadhi,mm James nitaridhika vpi kama kuna haki imetendeka?
★Au tufanye Anna ameolewa na Haji then Haji akafariki..na ndugu zake Haji wakataka mirathi igawiwe na mahakama ya Kadhi!unadhani mahakama itawatambua watoto na mama yao kama warithi halali?!
★Pili sifa zakuajiliwa kwenye hiyo mahakama zitakuwa zipi!kitakachotokea ni waislam tu ndio watakao pata ajira huko!sasa hii itawafanya wakristo wakose hizo ajira kabla hata haijatangazwa wakati wao pia huchangia kulipa mishahara ya hao wafanyakazi wa mahakama ya kadhi.
 
Hao waislam wasaliti waliishabikia katiba ya sita na ya chenge sasa mnamlilia nani
 
Huo moto unatokea upande mwingine, baada ya ule wa Escrow. Ccm andaa mchanga na zimamoto.

Tukishawaahidi pilau tu wanatulia. Tulishawazowea hawa hawatutetemeshi hata kidogo hawa darasa la saba. Labda wangesema Maaskofu ndio ingetufikirisha kidogo.
 
Hii nchi haina dini jamani. Kila dini/dhehebu likitaka mahakama yake tutafika wapi jamani? Ndugu Waislamu litafakari zaidi hili. Ndio maana hata kufungisha ndoa ni mamlaka ya dini husika na serikali haigharamii shughuli za ufungishaji ndoa za wakristo wala waislamu

Wewe umepotoka au pombe zinakusumbua, hakuna nchi ulimwenguni ambayo ina waislamu hata kwa asilimia 40% kusiwe na Mahkama ya kadhi ambayo inatambuliwa kikatiba ili kuweza kikidhi matatizo na waislamu kupata haki zao. Tanzania Bara peke yake waislamu hawawezi kupungua asilimia 60% si kwambii Zanzibar ambao ni 99% waislamu.

Waislamu tunaelewa ukishakuwa mkiristo basi ata haki unaweza kuikataa na kupinga kupinga tu mana ndivyo ukiristo. Ivi wewe ulitegemea waislamu haki zao zikatatuliwe na mahakama zenu za ki-mission ambazo hawana taaluma juu uislamu?.

Ivi nyinyi Nyerere munamchukuliaje kama nabii ama mtu aliyekuwa na sifa ya kipekee tofauti na mwanadamu wa kawaida kwamba amesema Tanzania haina dini na nyinyi munatii tu.

Dunia inakuwa wakati wa Julius Nyerere sio wakati wa sasa, sasaivi kuna mambo mbali mbali yanahitaji ufumbuzi waislamu wameona kuna haja ya kuwa na Mahkama ya kadhi tena itambuliwe kikatiba ili matatizo yao yaweze kuwa solved kwa mujibu wa dini yao ilivyotaka, Kama ukiristo haukufundisha nyinyi kuwa na mahkama, Uislamu kwa mujibu wa Quran inafahamisha ivyo kwanini munaleta porojo porojo ambazo hamna elimu nazo?.

Waislamu walio Tanzania nao ni Watanzania hawana sehemu nyengine ya kwao ila Tanzania kwanini wanyanyaswe?
 
Taasisi ipi, jumuiya ya waislam au bakwata?

Kwa kukusaidia bakwata imeasisiwa na nyerere na ndio muhimili mkubwa CCM kwa maswala ya uchaguzi

BAKWATA(BARAZA KUU LA WAKRISTO TANZANIA) Muasisi mkuu wao ni Nyerere.
 
FF mimi kutokua muislamu haimaanishi siupendi au naupinga uislamu maana katika mfumo wangu wa kuabudu sijawahi kuathiriwa na uwepo wa uislamu.Na maisha yangu naishi na waislamu na ndio marafiki zangu wakubwa.ndio maana nikasema hata ikianzishwa sidhani kama itaathiri imani yangu au mfumo wangu wa kimaisha.So ianze tu kwa sababu kama nyie mtakua Happy kwa uanzishwaji wa mahakama hiyo basi itakua ni neema kwa nchi yote.

Mie mwenyewe nishachoka na mke mmoja. Ikipita tu mguu wa kwanza kwa Faizafoxy.
 
Ni lazima Serikali iwaambie waislam ukweli. Lazima tukubali kwenye nchi ambazo zina serikali za ki-secular kama ya kwetu ni ngumu kuwa na Mahakama ya Kadhi yenye nguvu kama za Saudi Arabia au Kuwait.. Hata huko Zanzibar mtu akiiba hawampeleki kwa kadhi ila Jamhuri ndiyo inamfungulia mashtaka....

Lazima tufahamu sheria zimegawanyika katika mafungu mawili makubwa..

(i) Public Law.. Hizi zinalinda maslahi mapana ya umma kwa maana ya Jamhuri, Mfano sheria za jinai nk. Hapa mtu akifanya kosa anashtakiwa na Jamhuri... yule uliyemdhuru anabaki kuwa shahidi tu.. hapa hakuna dini, kabila, utamaduni wala rangi ya mtu.. Kama umefanya kosa lazima utashakiwa kwa kuvunja sheria za nchi na kwa minajili ya kulinda maslahi mapana ya taifa..

(ii) Civil/private Law.. Hizi zinasimamia maslahi ya mtu mmoja mmoja.. Mfano sheria za mikataba, ndoa nk. Hapa ni mtu vs mtu.. na sheria itakayotumika ni ile ambayo kosa limeangukia.. Kama ni mgogoro wa ndoa basi mgogoro utatatuliwa ama kwa kutumia sheria za kimila kama ndoa ni ya kimila, kama ni ya kiislam itabidi utumike utaratibu wa kiislam vivyo hivyo kwa ndoa ya kikristo..

KWANINI MAHAKAMA YA KADHI NI VIGUMU KUFANYA KAZI TANZANIA.??

Mahakama ya Kadhi inaendeshwa kwa kutumia Sharia Law, kwa maana ya kitabu kitakatifu cha Quran, Hadithi za Mtume nk. na lazima utambue kuwa Uislam ni mfumo uliokamilika kwa maana ya taratibu, sharia, mira, desturi, imani/dini vyote vinakwenda kwa pamoja. Sasa ili Mfumo huu uweze kufanya kazi kwa ukamilifu wake unahitaji watu wenye tamaduni, mila, desturi imani/dini moja.. Hivyo Sheria zake zinakuwa rahisi kusimamiwa na Serikali kwa sababu watu wote ni wa Mfumo mmoja..

Lakini kwa nchi kama ya kwetu yenye mchanganyiko wa sio tu dini, bali pia tamaduni, desturi mila na kadharika ni ngumu ku-impliment Sharia Law.. Na kwa sababu tunaishi katika Jamhuri mmoja lazima kuwepo na mfumo ambao utaweza ukawajumuisha watu wenye imani, dini na tamaduni tofauti.. yaan Secular state...

Kwa mchanganyiko wa jamii yetu.. kuwa na Mahakama ya Kadhi yenye nguvu ni ndoto za mchana na lazima Waislam wakubali ukweli huo.. Chukulia Mkristo kaibiwa na Muislam.. au Muislam kaibiwa na Mkristo utatumia Sheria gani hapo ili kutenda haki????

Lazima ukweli ubaki ukweli!! Tatizo limeletwa na CCM kwa kuwapa Waislam matumaini makubwa yasiyotekelezeka ili wajipatie kura..

Niwashauri tu ndugu zangu waislam lazima tujitahidi kujenga Taasisi zetu zenye nguvu, ueledi na fedha ili kuwatumikia waislam kwa yale mambo ya kiimani na kijamii tu. La sivyo hakuna kitu hapo..

Mkuu, sidhani kama kuna zaidi ya hapo. Nazikubali hoja zako.
Baya zaidi waislamu wenyewe hawako pamoja kwenye hili.
 
Halafu walivyo wabinafsi,ubovu pekee wa Katiba pendekezwa ni kukosekana kwa Mahakama ya Kadhi.

Soma vizuri wewe, wamesema wameitoa rasimu ya warioba na kuweka ya kwao, hapo wamesema hivyo kuepuka kuambiwa wameingilia siasa.
 
Hapa ndipo ninaposhindwa kuwaelewa waislamu.
★kwanza,unawezaje kulinganisha maakama ya kadhi na mahakama ya ardhi au biashara?! Mimi James nikichukua ardhi ya Juma basi Juma atanishtaki mahakama ya ardhi,na mwishowe Juma atapata haki yake! Sasa je Juma akiamua kunipeleka mahakama ya kadhi,mm James nitaridhika vpi kama kuna haki imetendeka?
★Au tufanye Anna ameolewa na Haji then Haji akafariki..na ndugu zake Haji wakataka mirathi igawiwe na mahakama ya Kadhi!unadhani mahakama itawatambua watoto na mama yao kama warithi halali?!
★Pili sifa zakuajiliwa kwenye hiyo mahakama zitakuwa zipi!kitakachotokea ni waislam tu ndio watakao pata ajira huko!sasa hii itawafanya wakristo wakose hizo ajira kabla hata haijatangazwa wakati wao pia huchangia kulipa mishahara ya hao wafanyakazi wa mahakama ya kadhi.

NSSF ni Mini-Kadhi cort.
 
Soma vizuri wewe, wamesema wameitoa rasimu ya warioba na kuweka ya kwao, hapo wamesema hivyo kuepuka kuambiwa wameingilia siasa.

Kitendo cha kutaka wawepo kwenye Katiba ni siasa tosha.Wajifunze kutoka Roman Catholic ambao mahakama zao hazifungamani na Katiba ya Nchi.
 
NSSF ni Mini-Kadhi cort.

Mlizoeya mno kuwacheza "SHERE " Waislaamu kwa myaka mingi, na sasa khitami yenyu ndo hini muionayo.

Umoya na Ufahamu wao juu ya hitajio kunako yao "DINI" kumewatosha kuwarejeza pamoya.

Sasa kazi kwenyu "MAKAAFIRI" na zenyu hasada ukomo wake ndo sasa.

Hapa mtajaumia sana.
 
Sheikh, hiki ni ki-Alshabab au?
 
Yaani swala la Mahakama ya Kadhi waislamu wasahau kwa sababu hakuna mahakama ya kadhi kwenye nchi ambayo aina dini. Hakuna Mkristo, mpagani, mbaniani au wengine wa dini yeyote ambao watakubali fedha zao za kodi zitumike kugharamia mahakama ya dini nyingine hili liko wazi. Na sio ccm, cuf, nccr, chadema wenye uwezo wakulifanikisha alichofanya Kikwete ni kuwahadaa waislamu lakini ccm wanajua hilo haliwezekani. kama ni mahakama ya kadhi ni Bakwata waisimamie wenyewe na kwa gharama zao tofauti na hapo ni ngumu.
 
Msome tu humu utamuelewa.

Kama Nyerere alikuwa kwanza Kanisa halafu ndiyo nchi basi FaizaFoxy kwanza Uislam kabla ya chochote kile.

We mama mzee wawatu marehemu Mwalimu Nyerere alikufanya jambo gani? Post zako nyingi ni kumkashifu mzee wa watu, au ndio dini inavyo kufundisha kukejeli marehemu? Chakushangaza huyo mzee ndio muasisi wa chama unachokitetea. Hivi huko CCM ni nani ambaye anaasisi huo mpango wa kum down grade marehemu Mwalimu Nyerere. Mwishowe watu tutaaza kuamini kwamba mwenyekiti wenu wa sasa ndiye anaepandikiza chuki kwenu dhidi ya hayati Mwalimu Nyerere. Mada haihusiani kabisa na Nyerere, lakini umeingiza chuki zako dhidi yake. Mbona humtaji mzee Mwinyi, kipindi chake cha uraisi aliweka hizo mahakama za kadhi?. Mlimshangilia mzee Sita alipopitisha katiba pendekezwa, raisi wa nchi nae akaisifia, wanachama wa ccm waisilamu wakiwemo waliserebuka siku raisi alipo kabidhiwa katiba pendekezwa. Naomba tumwache mzee wawatu apumzike huko aliko,hata dini inahitaji kuheshimu marehemu zetu, na tuwe wastaarabu tusiiumize familia yake kwa kumtolea kashfa mzee wao kila mara. Wkuu wangu ni ushauri tu kwa huyu bibi FaizaFoxy. Sijui ni kwa nini anajiita Mmbwa mwitu, wakati mmbwa ni haramu kidini.
 
Last edited by a moderator:
Wewe umepotoka au pombe zinakusumbua, hakuna nchi ulimwenguni ambayo ina waislamu hata kwa asilimia 40% kusiwe na Mahkama ya kadhi ambayo inatambuliwa kikatiba ili kuweza kikidhi matatizo na waislamu kupata haki zao. Tanzania Bara peke yake waislamu hawawezi kupungua asilimia 60% si kwambii Zanzibar ambao ni 99% waislamu.

Waislamu tunaelewa ukishakuwa mkiristo basi ata haki unaweza kuikataa na kupinga kupinga tu mana ndivyo ukiristo. Ivi wewe ulitegemea waislamu haki zao zikatatuliwe na mahakama zenu za ki-mission ambazo hawana taaluma juu uislamu?.

Ivi nyinyi Nyerere munamchukuliaje kama nabii ama mtu aliyekuwa na sifa ya kipekee tofauti na mwanadamu wa kawaida kwamba amesema Tanzania haina dini na nyinyi munatii tu.

Dunia inakuwa wakati wa Julius Nyerere sio wakati wa sasa, sasaivi kuna mambo mbali mbali yanahitaji ufumbuzi waislamu wameona kuna haja ya kuwa na Mahkama ya kadhi tena itambuliwe kikatiba ili matatizo yao yaweze kuwa solved kwa mujibu wa dini yao ilivyotaka, Kama ukiristo haukufundisha nyinyi kuwa na mahkama, Uislamu kwa mujibu wa Quran inafahamisha ivyo kwanini munaleta porojo porojo ambazo hamna elimu nazo?.

Waislamu walio Tanzania nao ni Watanzania hawana sehemu nyengine ya kwao ila Tanzania kwanini wanyanyaswe?

Umetumia ad hominen arguments ie argument by character assassination. Mambo ya pombe yanatoka wapi? Sitakujibu, ndio nyinyi "waislamu" mnaozungumzia mahakama ya ardhi, labour court and the like being equivalent and Kadhi's court!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom