Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Sio hao tuu mpoki steve nyerere cris mauki na badhiwenye kujua ku-tag..
ujumbe uende kwa Pascal,yule mkurugenzi wa MCL na issack Maro wa Njia Panda
Wabunge wanatakiwa kuwa wafanya biashara na watoto wa wakubwa tu.Waalimu na waandishi sahauuni ubungeDuuuu
Basi wabunge wanatakiwa kuwa wakulima tu
Mchumia tumbo huyo,angekuwa amejiajili asingeshinda kwenye TV chakavu kila jumamosi anatoa machozi.Mayala amejiajiri huyo hawezi kumgusa kwa lolote!
Wametia aibu sana...kwani huyo Maro ni mwandishi wa habari? Si muongeaji tuWenye kujua ku-tag..
Ujumbe uende kwa Pascal,yule mkurugenzi wa MCL na issack Maro wa Njia Panda