Baraza la Maadili lawakuta na hatia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Meneja TANESCO, Diwani na Msajili Msaidizi wa Hati

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Snapins.ai_487175900_17906936391134849_3805588525915483810_n_1080.jpg

Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza limemkuta na hatia.
​
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imewafikisha mbele ya Baraza la Maadili Viongozi sita wa Umma kwa kushindwa kuwasilisha Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kinyume cha Sheria.

Viongozi waliofikishwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 katika ukumbi wa ofisi za Sekretarieti ya Maadili ni; Edward Mhina Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba wa wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga, Mhe. Mwandei Mohamed, diwani halmashauri ya wilaya Mkinga, Mhe. Mussa Bohero Jangwa diwani wa kata ya Mayomboni, Tanga na Bi. Mwajuma Abas Kihiyo, Msajili wa Hati Msaidizi, Tanga.
Snapins.ai_486702777_17906933667134849_6320763506242498093_n_1080.jpg

Mwandei Machumwa Mohamed, Diwani wa Halmashauri ya Mkinga mkoani Tanga akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Mhe Mwandei amekiri hivyo Baraza limemkuta na hatia.
Snapins.ai_486750320_17906936106134849_9011063695889630372_n_1080.jpg

Mussa Bohero Jangwa, Diwani wa Kata ya Mayomboni mkoani Tanga akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Mussa amekiri hivyo Baraza limemkuta na hatia.
​

Viongozi wengine ni Bw. Idefonce Columba, Meneja wa TANESCO wa wilaya ya Kaliua, mkoani Tabora, Mhe. Cleopha Mziray, hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Puge, mkoani Tabora.

Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Emma Gelani ameliambia Baraza kuwa walalamikiwa wote sita kwa pamoja wanadaiwa kushindwa kuwasilisha Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kinyume na misingi ya Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Sura ya 398.

“Mhe. Mwenyekiti, kushindwa kuwasilisha Tamko la Rasilimali na Madeni ni ukiukwaji wa misingi ya uongozi kwa mujibu wa kifungu cha 9(1)(b) na kifungu cha 16(a) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma,” alisema.

Viongozi hao wanatuhumiwa kushindwa kuwasilisha Tamko la Rasilimali na Madeni kati ya mwaka 2021 hadi 2023.

Walalamikiwa wote katika nyakati tofauti wamekiri kosa.

Mmoja wa watuhumiwa hao Bw. Musa Jangwa alipoulizwa na Mhe. Rose Teemba, Mwenyekiti wa Baraza la Maadili kama amesikia malalamiko yake amesema, “Ndio nimeyasikia Mhe. Nakiri kosa na naliomba Baraza lako linisamehe aksante.”
Snapins.ai_487235789_17906937192134849_6099288337895418740_n_1080.jpg

Mwajuma Abas Kihiyo, Msajili wa Hati Msaidizi mkoani Tanga akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Bi. Mwajuma amekiri hivyo Baraza limemkuta na hatia.
Snapins.ai_487065897_17906947545134849_4355800591821319131_n_1080.jpg

Edward Reuben Mhina, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba Halmashauri ya wilaya ya Korogwe mkoani Tanga akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Bw. Edward amekiri hivyo Baraza limemkuta na hatia.
Snapins.ai_487079810_17906948619134849_6135414095572772922_n_1080.jpg

Idefonce Arthur Columba, Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Bw. Idefonce amekiri hivyo Baraza limemkuta na hatia.
​

“Kwa kuwa maelezo yametolewa na umekiri kwa kinywa chako, Baraza limekutia hatiani. Unaweza kwenda,” alisema Mhe. Teemba.

Baraza hili limefanyika chini ya Mwenyekiti wake Jaji (Mst.) Rose Teemba, akisaidiana na Wajumbe wa Baraza hilo Bw. Peter Ilomo na Bi. Suzan Mlawi.

Upande wa mashtaka uliwakilishwa na Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Emma Gelani, Bw. Hassan Mayunga, Bw. Hillary Hassan, Lydia Mwakibete na Catherine Tibasana.

Kikao hicho cha Baraza kimeahirishwa hadi tarehe 28 Machi 2025 ambapo walalamikiwa wengine watatu akiwemo Mhe. Sakina Jumanne Mohamed, Mkuu wa wilaya ya Mbogwe mkoani Geita watafikishwa mbele ya Baraza.

Pia soma ~ DC Mbogwe na DAS Arusha watoa utetezi mbele ya Baraza la Maadili
 
View attachment 3285746
Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza limemkuta na hatia.
​
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imewafikisha mbele ya Baraza la Maadili Viongozi sita wa Umma kwa kushindwa kuwasilisha Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kinyume cha Sheria.

Viongozi waliofikishwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 katika ukumbi wa ofisi za Sekretarieti ya Maadili ni; Edward Mhina Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba wa wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga, Mhe. Mwandei Mohamed, diwani halmashauri ya wilaya Mkinga, Mhe. Mussa Bohero Jangwa diwani wa kata ya Mayomboni, Tanga na Bi. Mwajuma Abas Kihiyo, Msajili wa Hati Msaidizi, Tanga.
View attachment 3285743
Mwandei Machumwa Mohamed, Diwani wa Halmashauri ya Mkinga mkoani Tanga akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Mhe Mwandei amekiri hivyo Baraza limemkuta na hatia.
View attachment 3285744
Mussa Bohero Jangwa, Diwani wa Kata ya Mayomboni mkoani Tanga akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Mussa amekiri hivyo Baraza limemkuta na hatia.
​

Viongozi wengine ni Bw. Idefonce Columba, Meneja wa TANESCO wa wilaya ya Kaliua, mkoani Tabora, Mhe. Cleopha Mziray, hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Puge, mkoani Tabora.

Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Emma Gelani ameliambia Baraza kuwa walalamikiwa wote sita kwa pamoja wanadaiwa kushindwa kuwasilisha Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kinyume na misingi ya Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Sura ya 398.

“Mhe. Mwenyekiti, kushindwa kuwasilisha Tamko la Rasilimali na Madeni ni ukiukwaji wa misingi ya uongozi kwa mujibu wa kifungu cha 9(1)(b) na kifungu cha 16(a) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma,” alisema.

Viongozi hao wanatuhumiwa kushindwa kuwasilisha Tamko la Rasilimali na Madeni kati ya mwaka 2021 hadi 2023.

Walalamikiwa wote katika nyakati tofauti wamekiri kosa.

Mmoja wa watuhumiwa hao Bw. Musa Jangwa alipoulizwa na Mhe. Rose Teemba, Mwenyekiti wa Baraza la Maadili kama amesikia malalamiko yake amesema, “Ndio nimeyasikia Mhe. Nakiri kosa na naliomba Baraza lako linisamehe aksante.”
View attachment 3285749
Mwajuma Abas Kihiyo, Msajili wa Hati Msaidizi mkoani Tanga akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Bi. Mwajuma amekiri hivyo Baraza limemkuta na hatia.
View attachment 3285750
Edward Reuben Mhina, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba Halmashauri ya wilaya ya Korogwe mkoani Tanga akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Bw. Edward amekiri hivyo Baraza limemkuta na hatia.
View attachment 3285751

adhabu yao ni nini? Lakini mbona hao ni vidagaa?
 
Mnapambana na watu wadogo na wasio na athari yoyote ile kwenye jamii, badala ya kuanza na mafisadi wakubwa akina Lameck, na ambao hata vyanzo vyao tu vya utajiri wa kutisha havieleweki!!
 
Back
Top Bottom