Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Kanisa takatifu katoliki, lazima sasa msimame na wananchi kwa dhati kabisa
Kweli kabisa
Watuambie pia kwa nini reli ya kati, mwendokasi, uwanja wa Taifa vinavyoendeshwa na Serikali miaka na miaka haviendi kwa ufanisi.
 
Jifarague tu,huwa mnajufanya mna akili Sana kumbe wapuuzi,mmekwama Karne hii ya sayansi na teknolojia,uwekezaji ni suala la serikali na si Baraza la kidini,wao waende kwenye vitubio kusamehe watu dhambi
Uwekezaji usiojali maslahi ya kizazi cha sasa na kijacho cha mtanganyika ni haramu.
 
Pumbavu wewe ,huo udini Huwa unakuja Rais akiwa Muislamu tuu? Kwa taarifa Yako Mimi sio mnafiki kama wewe na Mimi sio Muislamu ila nimekuwa nafanya observation Huwa huu ujinga unafanyika sana..

Tanzania sio Mali ya RC na hivyo mkome kuyumbisha Nchi, Mwendazake alikuwa anashinda makanisani kutoa hotuba sikuwahi kuona chokochoko Wala nyaraka.
Acha ujinga wewe
 
Mbona uwekezaji wa gas ya Lindi waliyopewa wazungu hauzui sintofahamu!?..nyakati zimebadilika,siyo 70,80,90s hii,wao wakae,wanywe divai,wapige goti mbele ya sanamu,dp watapewa bandari
Wajinga kama wewe mna vichwa vigumu kweli kweli. Unadhani watu wanapinga uwekezeji? Mbona wawekezaji wengi wamepewa miradi na viwanda watu hawakupiga kelele? Jaribu kusoma tena watu wanacholalamikia halfu utumie ubongo wako
 
Uwekezaji usiojali maslahi ya kizazi cha sasa na kijacho cha mtanganyika ni haramu.
Uwekezaji kwenye migodi aliopitisha mkapa ulijali kizazi Cha Sasa na kijacho!?..hao TEC walikusanya magovi yao kujadili!?.. mkataba wa dp na bandari umesainiwa mpaka useme uwekezaji hauna tija!?..kuongeza Pato bandari kwa zaidi ya 100% ni kutojali maslahi ya nchi?..kuwezeshwa bandari kichangia bajeti kwa zaidi ya 67%+ badala ya 30 ya Sasa ni kutojali kizazi Cha Sasa na kijacho!?..huwa mnafikiri,au chuki za kidini huwa ulevi kwenu kiasi kurukwa akili!?
 
Wajinga kama wewe mna vichwa vigumu kweli kweli. Unadhani watu wanapinga uwekezeji? Mbona wawekezaji wengi wamepewa miradi na viwanda watu hawakupiga kelele? Jaribu kusoma tena watu wanacholalamikia halfu utumie ubongo wako
Najua watu wanacholalamikia ndiyo maana naongea,wewe ndiye punguwani unayebwata bila kufikiri
 
Pumbavu wewe ,huo udini Huwa unakuja Rais akiwa Muislamu tuu? Kwa taarifa Yako Mimi sio mnafiki kama wewe na Mimi sio Muislamu ila nimekuwa nafanya observation Huwa huu ujinga unafanyika sana..

Tanzania sio Mali ya RC na hivyo mkome kuyumbisha Nchi, Mwendazake alikuwa anashinda makanisani kutoa hotuba sikuwahi kuona chokochoko Wala nyaraka.
Vimba na upasuke kibwengo la ccm Wewe

Tunapinga mkataba wa kihuni na sio uislamu wa mtu

Wewe ni mpumbabu
 
Twategemea Kufufuliwa Kwa Wafu Na Uzima Ujao
 
Back
Top Bottom