The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu wengi wao tatizo lao ni Uarabu plus dini yao,hata umfahamishe vp hawezi kukubaliana na wewe.Mkataba wa utekelezaji haujasaini,kinachodaiwa kuwa mkataba ni intergovernmental agreement (IGA),agreement siyo contract, agreement hiyo ni baina ya serikali husika,katika hili mamlaka za bandari tz na mamlaka za bandari Dubai(Dubai ports-dp) ndizo zitakazoingia contract,umekazana kubisha na kubwabwaja mambo yenyewe huyajui