Kigwa ali loose focus, muda wote anachati twitter, sasa aende awe anakesha huko twitter tunataka mtu ambaye atakuwa focussed na kazi yake.Kigwangala kapewa muda wa kutosha wa kujadili masuala ya simba sports club.
Mie Kyusa, kwa muda mrefu hatujawahi kukosa uwakilishi toka kanda ya myanda za juu, hasa Njombe, Songea, Iringa na Mbeya.We Mnyalu, Kyusa au Bambi?
ni zamu ya KANDA YA MILKMie Kyusa, kwa muda mrefu hatujawahi kukosa uwakilishi toka kanda ya myanda za juu, hasa Njombe, Songea, Iringa na Mbeya.
Kanda hii ya The Big Four, breadbasket ya Tanzania in umuhimu wake.
Usikonde, ameteua wanawake wengi wa viti maalum kina Halima Mdee na wenzake 18. Na bado kuna nafasi za ukuu wa wilaya zinakuja, sio lazima wote wawe mawaziri.Kuna tathmini ya kawaida sana katika Baraza jipya!!
Wanawake 4
Wanaume 19...
Yupo Silinde kikolo[emoji23][emoji23][emoji23]Kanda ya nyanda za juu HAKUNA.
Hili ni Baraza ya kanda ya Ziwa.
Tone katika bahari!Yupo Silinde kikolo[emoji23][emoji23][emoji23]
Unateuliwa leo kuwa mbunge unaapishwa kwanza kuwa wazir kiapo cha ubunge baadae. Hapo kazi tuuuDini siyo majina bwashee!
CCM wamenunua covid 19 kwa pesa za walipa kodi ni matumizi mabaya ya pesa za ummaChadema wangempa uwaziri shehe Ponda!
Zaidi mawaziri 11 wanatoka kanda ya Ziwa waliobaki ndiyo kanda zingineMh Magufuli kateua baraza la mwaziri, 05-12-2020 mida ya jioni kama alivyotabiri kigogo2014 lakini watu wamelipa kisogo na habari za simba na Plateau zimevuma kuliko Baraza Lenyewe...
Kimei ni mchezaji wa akiba yupo Benchi anasibiria waziri wa fedha au Naibu wake wayumbe ama kuharibu ndipo anazawadiwa uwaziri azeeke nao na kingine kinachomkwamisha kimei ni ufuska ni mpenda michepuko kupitiliza report ya TISS itakuwa imemvunja moyo magufuli akaamua kumweka benchi kwanzaQuote aliyesema kimei kanyimwa uwaziri.
Afterall kimei sjui nini kimemuingiza ktk siasa, unapewa uwaziri unatukanwa mkeo na watoto wanakuonaje, watakuona poyoyo tu
Zaidi ya mawaziri kamili 11 wanatoka kanda ya ziwa wakiwemo na manaibu kadhaa piaHili ni baraza la kanda ya ziwa kama nalo bunge lilivyo bunge la kamati ya ccm
MO alimsomea Albadiri kubwa ndiyo maana kabwagwaKigwa ali loose focus,,mda wote anachati twitter,,sasa aende awe anakesha huko twitter,,tunataka mtu ambaye atakuwa focussed na kazi yake..
Hakuna Mnyachu mnafiki mfitini haijawahi tokea fuatilia...Yupo Silinde kikolo[emoji23][emoji23][emoji23]
Makonda atakuwa mkuu wa wakuu wa mikoa wote ni cheo kipiya wanakiundaUsikonde, ameteua wanawake wengi wa viti maalum kina Halima Mdee na wenzake 18. Na bado kuna nafasi za ukuu wa wilaya zinakuja, sio lazima wote wawe mawaziri.
Mitano mingine.
Mawaziri Wakristo ni 20Kanda ya nyanda za juu HAKUNA.
Hili ni Baraza ya kanda ya Ziwa.
Acha uzushi.Mie Kyusa, kwa muda mrefu hatujawahi kukosa uwakilishi toka kanda ya myanda za juu, hasa Njombe, Songea, Iringa na Mbeya.
Kanda hii ya The Big Four, breadbasket ya Tanzania in umuhimu wake.
Wakati naendelea kusoma uzi wako nikawasijafika mwisho natamani kukujibu kuwa mbona Kanda ya Ziwa naona wengi......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh Magufuli kateua baraza la mwaziri, 05-12-2020 mida ya jioni kama alivyotabiri kigogo2014 lakini watu wamelipa kisogo na habari za simba na Plateau zimevuma kuliko Baraza Lenyewe...
Mawaziri Wakristo ni 20Kanda ya nyanda za juu HAKUNA.
Hili ni Baraza ya kanda ya Ziwa.