Tzmzalendo og
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 337
- 136
Kwani hao kanda ya ziwa sio Watanzania?
Kipindi kile Kigoma ilikuwa na Mawaziri 3 hakuna aliyehoji....
ila kuna ka-ukweli nakupongeza kwa research uliyofanya, japo sitii neno.Kuna tathmini ya kawaida sana katika Baraza jipya!!
Wanawake 4
Wanaume 19...
Je kanda ya Kati wangapi Singida, Dodoma , marogoro ?Mh Magufuli kateua baraza la mwaziri, 05-12-2020 mida ya jioni kama alivyotabiri kigogo2014 lakini watu wamelipa kisogo na habari za simba na Plateau zimevuma kuliko Baraza Lenyewe...
Je kanda ya Kati wangapi Singida, Dodoma , marogoro ?
Halafu kanda ya Kusini lindi Mtwara, Hala nyanda za Juu kusini iringa, njombe Ruvuma,
Halafu kanda ya Kaskazini Arusha, Tanga, Kilimanjaro na Manyara
Hapo kuna kaukweli kasikoweza bishaniwa, Rais jamani hajakosea aliyenyimwa anyamazeKulikuwa na mawazir watatu but walikuwa wanalitumikia taifa syo mkoa, , kaangalie kgm Kama Kuna fly over ndo useme ukanda unaimpact au n porojo tu
Dr Festo Ndugange hongera kwake kutoka DMO Kinondoni, RMO Simuyu now Naibu Waziri. Hongera Sana kwakeLukuvi, Silinde na Dr Dugange wanatoka kanda gani?
Uko sahihi, inawezekana Mary ni binti wa kiislamu.Dini siyo majina bwashee!
Viongozi wapatikane kwa sifa za msingi kama kiwango cha elimu, uzoefu, uwezo kwenye kazi husika, uzalendo kwa nchi, uadilifu, upenzi na utiifu kwa kiongozi wa juu 'Raisi', na nk.
Na sio kwa vigezo vya dini yake, kabila lake, na nk.
Kulikua na wagombea wengi wasomi, kwani kulikua na ulazima wa kpitisha jina la babu tale kugombea ubunge?Mimi naona hao kanda ya ziwa ndio wamesoma sana na CV zao zinawabeba na hata ukiangalia matokeo yao shue za huko zinafaulisha sana, wanastahili.
Hivi unaweza mpa BABU TALE uwaziri?
Mikoa ipo 30, sasa sijui hawa watu walitaka kila mkoa atoke waziri hata kama hana sifa anazozitaka mwenye kuteua. Tulizoea kupeana tu vyeo hata kama mtu hana sifa ilimradi ionekana kuna kubalance maeneo. Hapo sasa ndipo tulikuwa tunajaza wale jamaa waliokuwa wakieleza makongamano ya kimataifa " Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zimbabwe uliofanyika mwaka one thousand nineteen sixty four.
Ni kweli kabisa tunahitaji wachapakazi hata ikiwa wote watatoka Kigoma sawa tu. Nani atapinga kazi ya Mpango na Ndalichako au Kabudi?
Tutaona siku wanaapishwa Kama Wana dini au hawana.Dini siyo majina bwashee!
Kitila singida, achana na ubunge.1. Kwandikwa - Shinyanga
2. Katambi - Shinyanga
3. Biteko - Geita
4. Mashimba- Simiyu..
Wana Baraza lao na mawaziri wao na wawakilishi wao unataka waje na huku bara kwenye watu milion 60,?Kanda ya zanzibar hakuna hata naibu
Kati anakoishi.Kusini
Subiri wakiwa wanaapishwa uhesabu watakaobeba Quran.ok. wenye majina ya kiislam wapo wangapi
Alishahama Singida, basi kama ndio hivyo askofu Gwajima nae Mwanza.Kitila singida, achana na ubunge.
🤣🤣🤣Hapo kwa Kabudi umetuingiza chaka anakazigani huyo landa kufoka na kutoa macho kama nayo ni kazi