Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

Status
Not open for further replies.
Kuna source yangu Muhimu wenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbali mbali

Je BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo

Britanicca
Nchi ya drama zisizoisha
Majizi yanatolewa hapa yanapelekwa pale.

Nchi inq uhaba wa viongozi inabidi tuimport viongozi
 
Kuna source yangu Muhimu wenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbali mbali

Je BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo

Britanicca
Acha kumwaga mboga!
 
Inner source reporting
 
Mtasubiri sana
 
Ni ngumu kwa wakati huu wa bajeti atasubiri wamalize kuwasilisha bajeti zao bungeni lakini pia Makamba ni shareholder wa serikali ya awamu ya sita na Mbarawa ni makwetu
 
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbalimbali

Je, BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo

Britanicca
Nyie watu wa idara wa hii nchi ni wa ovyoo sana mambo kama haya mnayofanya mlishawahi kuona nchi gani inafanya ujinga huu.

Habari zinatoka kabla ya taarifa rasmi huu ni uhujumu uchumi
 
Labda Mbalawa lakini sio January marope you know why ? Because madamu presidaa hana backup huku bara na kama ukiangalia kwa jicho LA mwewe timu msoga ndioi IPO kwenye
Control tower kumonitor nchi na ma rope wrote ni timu msoga,Sana sana anachowezwa kufanywa marope ni kuhamishwa wizara na sio kuwa fired. .
 
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbalimbali

Je, BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo

Britanicca
Akimrudisha Dr Bashiru atakuwa kala bingo. Kwa nini? Ni kwa sababu Dr Bashiru ni kama alivyo Polepole, hao ni asset na ndiyo wanaoonekana na ku reflect Dkt Magufuli na falsafa zake. Akimleta ndani ya mfumo Dkt Bashiru maana yake ataua upinzani ktk kukipata kiti cha 2025 na pia Dkt Bashiru ni mwenye msimamo hata lamba asali ya Mama maana yake ata balance
 
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbalimbali

Je, BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo

Britanicca
Hakuna aliyewahi kutabiria Mabadiliko kwenye Serikali ya Mama Hadi Sasa..

Hii ni ego Yako tuu na speculation
 
tetesi hii ni sawa na ndoto za aliacha, hakuna kitu kama hicho
.
JamiiForums-2066617636_111746.jpg
 
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbalimbali

Je, BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo

Britanicca
Umerudi lini Toka Urusi?

Au nakufananisha @brittanica ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom