Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

Status
Not open for further replies.
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbalimbali

Je, BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo

Britanicca
Amebana ameachia
 
WAPIGA RAMLI WA NCHI HII MNAZIDI KUONGEZEKA HIVYO VYOMBO VYENU VINAWADANGANYA
 
Haiwezi kutokea hao "the favourites" wakaondolewa.

Bila shaka source yako ni TMB (Trust Me Bro..)
 
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbalimbali

Je, BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo

Britanicca
Duh!!!
Ni ramli au..
 
Makamba kuenguliwa ni kwa maslahi ya taifa. Sidhani kama Mbarawa anatakiwa aenguliwa. Ila akibaki Mwigulu Nchemba kwenye serikali MAMA atakuwa hajatutendea haki waTZ.
 
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbalimbali

Je, BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo

Britanicca
Duh...!.
Ngoja nikimbizane maana...
Kukitokea mabadiliko this week, nitakula a very big loss!. Hapa nitakuwa nimefanya kazi bure...

I pray Mama asifanye mabadiliko yoyote ya cabinet reshuffle mpaka baada ya Bunge la Bajeti ili kuwapa fursa wawakilishi wetu wawasulubu, ndipo wawajibishwe!.

P
 
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbalimbali

Je, BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo

Britanicca
Tunajiuliza ni Kwa Nini watu ni wale wale kila kukicha.
Hatuhitaji kubadilishana.
 
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa

Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa,
Makatibu wakuu 7 watabadilishwa

Na wakurugenzi mbalimbali

Je, BASHIRU anarejea kivingine ?

Tu subiri week hii na ijayo

Britanicca
Mabadiliko hayasaidii. Mtu akishaiba mabilioni ya walipa kodi, na kubadirishwa bila ya kushughulikiwa na akaondoka na fedha za watanzania, haina maana wala haisaidii kuogopesha wengine walioko madarakani. Yeyote atakayechaguliwa kuiSHIKS nafasi hiyo, hatakuwa na woga wa kuiba na kubanduka na mabilioni ya watanzania. Tanzania ni tajiri, shida YULIO NAYO, hatuna uongozi bora Wa kuweza kupambana na wizi. MANENO MATUPU BILA VITENDO. KUSEMA UKWELI BILA KUMUNGUNYA MANENO, UONGOZI WA SAMIA UMEKUWA DHAHIFU SANA KUPAMBANA NA WIZI NA RUSHWA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom