Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

Status
Not open for further replies.
Tetetsi zinasema kuwa muuza unga mashuhuri Ridhiwani Kikwete atakuwa makamu wa rais, just imagine wauza unga watakavyopiga vigelele hapa mjini.
 
Ww unafikiri tatizo ni la nani .huoni kuwa huyu unayemwita raisa ni mweupe kichwani .ukiwa na mtoto wako asiyejua kipi kinafaa na kipi hakinifai shida ni ya nani .hizo ni basic concept achilia mbali mabo makubwa
 
Kubadilisha waziri 1 inagharimu kiasi gani cha pesa za walipa kodi? kumtoa maana yake ulikosea kumuweka. sasa gharama alipe nani?
Tuleteeni katiba mpya turekebishe uzembe huu wa kuteua kimakosa kwa kuangalia juu juu
Mim nafikiri yeye ndo tuanze kumbadilisha kwanza
 
Nitaamini nikishuhudia uapisho wao
 
Mbona anabadilisha kila siku ? Angesubiri wajadili report CAG ajue mbivu mna mbichi
 
Hata ukibadiisha as long as mfumo ni huu huu wa kuoneana haya usoni, sidhani kutakuwa na jipya.
 
Ila huyu Brittanica huwa ramli zake ni za kutulia na kuzifikiria sana.....[emoji1787][emoji1787]

Haya mpiga ramli....

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Daaah! Hao wahaya wenzangu uliowataja imebidi nicheke, kwa hiyo hao ndio watu wazuri?!
 
Daaah! Hao wahaya wenzangu uliowataja imebidi nicheke, kwa hiyo hao ndio watu wazuri?!
Karamagi alifanya kazi nzuri sana nishati and he was real committed,kwa nini aliondolewa na kitendawili.Bashiru ni Mtanzania halisi ambae tunamjua tangu UDSM,anaipenda nchi yake upeo,but was also removed in weird circumstances.Naamini makosa ya both Karamagi and Bashiru ni kuipenda nchi yao na Watanzania na kwa hiyo kuwa at logger heads na the "State Capture" kama Hayati Magufuli.
 
Kwa hiyo Dr.Bashiru alionewa?!!!

Kuna mambo mengine mazito yanayokosewa na viongozi wetu wateuliwa si lazima tuambiwe sisi raia....lengo ni zuri tu.... ni kulinda nchi na Umoja wetu.....

#SiempreURT



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…