Nuel27
JF-Expert Member
- Jul 3, 2026
- 461
- 915
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA: DARASA LA TANO MWAKA HUU KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2027
Kwa mujibu wa taarifa ya Baraza la Mitihani la Tanzania, wanafunzi waliopo Darasa la Tano mwaka huu (2026) watamaliza elimu ya msingi mwaka 2027 wakiwa Darasa la Sita, wakati wanafunzi waliopo Darasa la Sita mwaka huu watakuwa kundi la mwisho kusoma hadi Darasa la Saba.
Taarif hii inanifanya mimi kama mzazi au mlezi nijiulize jambo muhimu sana kuhusu watoto wetu.
Kama mtoto wa Darasa la Tano leo atamaliza elimu ya msingi mwaka 2027 akiwa Darasa la Sita, atakuwa na umri gani wakati huo? atakuwa kashakwiva kucope mazingira na vishawishi mbalimbali sekondari, na je, atakuwa tayari kuingia sekondari?
Miaka yetu hii watoto wanawahi kuanza shule mapema sana unakuta kitoto kitoto kidogo kweli hata ubongo hujatanuka nacho kinamalkza form four sasa sipati picha wakianza kuletwa hawa wa la sita itakaje 😂
Kuna muda pia nakaa nawaza hivi serikali yetu imeshaweka mipango ya kuwapokea double cohort ya kundi ya darasa la 6 na la 7 kwa pamoja maana mwakani watafanya mtihani wa kumaliza pamoja
Kwani jamani watoto wetu wanawahishwa wapi?