Ubongo Huwa una kawaida ya ku adapt kulingana na mazingira kwahiyo acha wakutane nacho tu.NImekuelewa vizuri mkuu ,ila nachomaanisha mimi ni upevu wa wanafunzi kuwahi kuingia level ya sekondari ingali bado ni watoto wadogo
Madereva watarajiwa ndio hawa wanaoandaliwa sasa.Dereva wa Dira sijui lini atapatikana sioni future kabisa mkuu
Bora wamalize mapema wakiwa na unpolluted mindsNa nyie mnapenda kulalamika sana, sasa shida iko wapi mtoto akimaliza shule mapema? Kwanza ndio vizuri vishawishi vingi vinampita umri bado
Jumla ya TSh trilioni 1.77 zinahitajika kuandaa miundombinu ya wanafunzi 3,021,177 watakaojiunga kidato cha kwanza 2028 (madarasa 23,226, vyoo 46,632, maabara 9,366, walimu 40,192).BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA: DARASA LA TANO MWAKA HUU KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2027View attachment 3673224
Kuna muda pia nakaa nawaza hivi serikali yetu imeshaweka mipango ya kuwapokea double cohort ya kundi ya darasa la 6 na la 7 kwa pamoja maana mwakani watafanya mtihani wa kumaliza pamoja
Kwani jamani watoto wetu wanawahishwa wapi?
Kila zama na kitabu chake,madogo wapo vizuri sana. Baadhi ya topics tulizokuwa tunasoma form one kipindi hicho ndio wanasoma sasa na wanaelewa na kufaulu vizuri,jitahidi kumsimamia mwanao na pia elimu ni gharama.Wadogo mno ndo maana hata hili la la kuishia la sita linanishangaza kiukweli ,uzuri kila mtu kasoma sekondari anaelewa maisha na mazingira yalivyo
Nimefurahi mno huu mfumo,mtoto anakuwa bado hajawa corrupted na mifumo ya nje.Bora wamalize mapema wakiwa na unpolluted minds
Mpaka naona aibu aisee hii nchi sijui tu wacha tusubiri El Nino ya wanafunzi watakaokosa madarasa 2028Jumla ya TSh trilioni 1.77 zinahitajika kuandaa miundombinu ya wanafunzi 3,021,177 watakaojiunga kidato cha kwanza 2028 (madarasa 23,226, vyoo 46,632, maabara 9,366, walimu 40,192).
Mwaka huu wa bajeti ya 2026/2027: fedha zilizotengwa ni kama ifuatavyo.
Hotuba ya bajeti ya PM haielezei miaka miwili iliyobaki (2026/27 na 2027/28) vitatoa wapi pesa za kuziba pengo la asilimia 91.7 lililobaki (takriban TSh trilioni 1.62).
- Shilingi bilioni 139.28 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri kwa madarasa 4,193 + vyoo 13,943.
- Shilingi bilioni 7 kutoka Serikali Kuu kwa maabara 233.
- Jumla: TSh bilioni 146.28 — sawa na asilimia 8.3 tu ya mahitaji.
Kwanini ni muhimu: Iwapo pengo hili halitazibwa, wanafunzi wa elimu ya lazima ya miaka 10 watakosa darasa, choo, maabara, au mwalimu. Hii ni ahadi kubwa ya kisiasa ya CCM — lakini hesabu hazitoshelezi.
Ulinganisho wa familia: Baba amesema "mwakani binti atasoma chuo kikuu; gharama ni milioni 12." Mwezi huu anaweka akiba ya TSh 100,000. Mama anamuuliza: "Miezi 11 iliyobaki utapata milioni 11 vipi?" Baba hajibu.
Uchambuzi wote kwa niaba ya Makumbele unapatikana hapa.
"Kama baba wa familia anasema 'tutajenga nyumba kubwa mwaka huu', unauliza maswali ya msingi: Bajeti iko wapi? Fundi ni nani? Nyenzo zimenunuliwa? Tutamaliza lini?" Vivyo hivyo, tunapaswa kuihoji Serikali.
Zingatia: Tarehe mosi Aprili 2026, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.) aliwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2026/2027. Hotuba ina kurasa 131. Watanzania wengi hawatapata muda wa kuisoma yote. Ipo hapa
![]()
Muhimu kukumbuka:
- Dkt. Nchemba alikuwa Waziri...
- Makumbele
- bajeti hotuba kati mistari mkuu uchambuzi waziri waziri mkuu
- Replies: 12
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kuna kozi huwezi kuzisoma bila kuwa na msingi wa Advance la sivyo hatutakuwa na wataalam bora.Elimu ya msingi ilitakiwa kuwa miaka 8 na iwe sawa na kumaliza form 2 ..... form 5 na 6 ni kupoteza muda na mali bure ..zifutwe .....
MFUMO WA 8 + 4 +CHUO .ndiyo mfumo sahihi..
PRIMARY MIAKA 5....NA ADVANCE PRIMARY MIAKA 3
Sikia huyu pimbi ..ina maana kenya hakuna watafiti tena bora kuliko hayo makanjanja ya UDSM NA UDOM...TUMIA AKILI WACHA KUTUMIA KIJAMBIO KUFIKILI KAMA KADA WA CCM.Kuna kozi huwezi kuzisoma bila kuwa na msingi wa Advance la sivyo hatutakuwa na wataalam bora.
Mnataka mtengeneze watu wafanyao kazi, ila sisi tunataka watu waweze kufanya utafiti pia.
Kenya elimu yao ya form 4 ni kama ya advance.Sikia huyu pimbi ..ina maana kenya hakuna watafiti tena bora kulikp hsyo makanjanja ya UDSM NA UDOM...TUMIA AKILI WACHA KUTUMIQ KIJAMBIO KUFIKILI KAMA KADA WA CCM.
UDSM ina watafiti bora kuliko Kenya.Sikia huyu pimbi ..ina maana kenya hakuna watafiti tena bora kulikp hsyo makanjanja ya UDSM NA UDOM...TUMIA AKILI WACHA KUTUMIQ KIJAMBIO KUFIKILI KAMA KADA WA CCM.
We mbuzi ..soma nilicho eleza mwanzo nimesema elimu yq msingi miaka 8 iwe sawa na form 2 ya sasa ....maana yake hiyo advance itakuwa ndani ya hiyo miaka 4 ....shida ya kuelewesha kada la ccm ni kubwa sana !Kenya elimu yao ya form 4 ni kama ya advance.
UDSM kuna watafiti wa NGONO na UCHAWA TUUDSM ina watafiti bora kuliko Kenya.
Ngoja nikuambie kwanza UDSM wako vizuri sana in terms of Engineering and Physics basics compared to Kenyan universities.We mbuzi ..soma nilicho eleza mwanzo nimesema elimu yq msingi miaka 8 iwe sawa na form 2 ya sasa ....maana yake hiyo advance itakuwa ndani ya hiyo miaka 4 ....shida ya kuelewesha kada la ccm ni kubwa sana !