Mkuu dunia inaenda kasi sana! We unataka watu wazeeke shule? Acha vijana wamalize vyuo wakiwa wadogo ili wakapambane kujenga maisha,umri umekuwa mfupi nowBARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA: DARASA LA TANO MWAKA HUU KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2027View attachment 3673224
Kwa mujibu wa taarifa ya Baraza la Mitihani la Tanzania, wanafunzi waliopo Darasa la Tano mwaka huu (2026) watamaliza elimu ya msingi mwaka 2027 wakiwa Darasa la Sita, wakati wanafunzi waliopo Darasa la Sita mwaka huu watakuwa kundi la mwisho kusoma hadi Darasa la Saba.
Taarif hii inanifanya mimi kama mzazi au mlezi nijiulize jambo muhimu sana kuhusu watoto wetu.
Kama mtoto wa Darasa la Tano leo atamaliza elimu ya msingi mwaka 2027 akiwa Darasa la Sita, atakuwa na umri gani wakati huo? atakuwa kashakwiva kucope mazingira na vishawishi mbalimbali sekondari, na je, atakuwa tayari kuingia sekondari?
Miaka yetu hii watoto wanawahi kuanza shule mapema sana unakuta kitoto kitoto kidogo kweli hata ubongo hujatanuka nacho kinamalkza form four sasa sipati picha wakianza kuletwa hawa wa la sita itakaje 😂
Kuna muda pia nakaa nawaza hivi serikali yetu imeshaweka mipango ya kuwapokea double cohort ya kundi ya darasa la 6 na la 7 kwa pamoja maana mwakani watafanya mtihani wa kumaliza pamoja
Kwani jamani watoto wetu wanawahishwa wapi?
Akimaliza chuo anaenda kusomea elimu ya ufundi na matakataka mengine au anafosi hadi PhD or master's ,maana umri unaruhusu.Baada ya hapo wanaenda form one wakiwa watoto possibly watamaliza form four wakiwa bado wadogo.
Elimu za kujitegemea ni muhimu sana kwa mfumo wetu wa sasa.
Hao watoto watakuja kumaliza vyuo mapema waanze kusota kutafuta ajira mpaka wazeeke.
Nawashangaa hawa wanaokosoa!!Acha watu wamalize shule mapema mkuu. Unataka mtu amalize shule na miaka 27 then hajui Nini cha kufanya
Haya majitu Kila kitu yanakosoa! Ndiomaana yanatandikwaga Risasi.Na nyie mnapenda kulalamika sana, sasa shida iko wapi mtoto akimaliza shule mapema? Kwanza ndio vizuri vishawishi vingi vinampita umri bado
Bora aende ufundi kabla ya chuo, na elimu ya ufundi ndiyo inayotakiwa kutiliwa mkazo zaidi.Akimaliza chuo anaenda kusomea elimu ya ufundi na matakataka mengine au anafosi hadi PhD or master's ,maana umri unaruhusu.
Wewe unaelewa ninacho kuambia ..wewe inaelekea kweli ni mwalimu maana siyo kwa upumbavu huo wa kushindwa kuelewa ....sasa nakueleza tena ...NIMESEMA MFUMO WETU UNATAKIWA ELIMU YA MSINGI IWE SAWA NA FORM 2 ...SASA WEWE UELEWI NINI HATA TUKITAKA ELIMU YA SHULE YA MSINGI IWE NI SAWA NA FORM 4 HAKUNA SHIDA NENO ELIMU SIYO MADARASA ..MTU ANAWEZA KUWA DARASA LA 7 ILA ELIMU YAKE NI DARASA LA 5 ...KAMA HAPA TANZANIA FORM 4 WENGI ELIMU YAO NI FORM 1 AU 2 JAPO WAPO FORM 4 ...TAMBUA KUWA ELIMU SIYO MADARASA, ELIMU NI KILE ULICHO ELIMIKA ... HIVYO UNAWEZA KUWA FORM 4 ILA ELIMU YAKO NI PRIMARY TENA DARASA LA 6 NKNgoja nikuambie kwanza UDSM wako vizuri sana in terms of Engineering and Physics basics compared to Kenyan universities.
Pili nishawahi fundishia kwa kutumia kitabu cha Kenya supplementary mathematics standard 8 na pia nilipokuwa shule ya msingi hapa Tanzania tulitumia kitabu hicho cha Kikenya kufundishwa, form 2 ya Tanzania ni nzito kuliko kitabu cha Standard 8 ya Kenya.
So usinitukane uzuri wake najua kila jambo, sijasoma shule za kayumba.
Kama hujawahi soma Kenya na vitabu vyake usijisumbue kuandika kwanza sijasoma maelezo yako kiundani .Wewe unaelewa ninacho kuambia ..wewe inaelekea kweli ni mwalimu maana siyo kwa upumbavu huo wa kushindwa kuelewa ....sasa nakueleza tena ...NIMESEMA MFUMO WETU UNATAKIWA ELIMU YA MSINGI IWE SAWA NA FORM 2 ...SASA WEWE UELEWI NINI HATA TUKITAKA ELIMU YA SHULE YA MSINGI IWE NI SAWA NA FORM 4 HAKUNA SHIDA NENO ELIMU SIYO MADARASA ..MTU ANAWEZA KUWA DARASA LA 7 ILA ELIMU YAKE NI DARASA LA 5 ...KAMA HAPA TANZANIA FORM 4 WENGI ELIMU YAO NI FORM 1 AU 2 JAPO WAPO FORM 4 ...TAMBUA KUWA ELIMU SIYO MADARASA, ELIMU NI KILE ULICHO ELIMIKA ... HIVYO UNAWEZA KUWA FORM 4 ILA ELIMU YAKO NI PRIMARY TENA DARASA LA 6 NK
Wewe hauna elimu wala akili ya kunizidi mimi .... nitakupa LOGIC ...Kama elimu ya msingi ikiwa miaka 13 ambayo ndani yake kukawa na primary ya sasa miaka 7 + O-level miaka 4 na A-level miaka 2 na baada ya hapo chuo ...Nini tofauti ya mfumo wa sasa ?Kama hujawahi soma Kenya na vitabu vyake usijisumbue kuandika kwanza sijasoma maelezo yako kiundani .
Asante
Umewahi soma shule pale Kenya?Wewe hauna elimu wala akili ya kunizidi mimi .... nitakupa LOGIC ...Kama elimu ya msingi ikiwa miaka 13 ambayo ndani yake kukawa na primary ya sasa miaka 7 + O-level miaka 4 na A-level miaka 2 na baada ya hapo chuo ...Nini tofauti ya mfumo wa sasa ?
13y + chuo
7y + 4y + chuo
Kitu ni kile kile ila manufaa (tija) inaweza kuwa tofauti.
Mbona unakazania sana kenya kwani hatuwezi kuunda mfumo wa elimu bora kuliko kenya na kuliko tulio nao sasa ...Umewahi soma shule pale Kenya?
Ushawahi soma vitabu vyake?
Ushawahi tumia kitabu cha Test it and fix it KCE exams?
Kama hujawahi sidhani inafaa kujibizanà na wewe.
Kama umewahi niambie nikuulize maswali ili nithibitishe.
Kwenye hili siwezi kosoa Kwasababu maswala ya kukaa shule muda mrefu hayana issue. Kwa mfano mtu anasoma udaktari MD miaka 5 na mwaka 1 wa internship miaka 6 unakuta unamaliza chuo na miaka 26 Hadi 27 Sasa wewe maisha unatafuta mwaka ganiNawashangaa hawa wanaokosoa!!
Jibu kwanza swali langu si umefananisha elimu ya Kenya na Bongo?Mbona unakazania sana kenya kwani hatuwezi kuunda mfumo wa elimu bora kuliko kenya na kuliko tulio nao sasa ...
KISAIKOLOJI KIDATO CHA 5 NA 6 KINAUA MOYO WA WANAFUNXI KUSOMA KWA BIDII O-LEVEL KWA SABABU WANAJUA HATA WAKIFAULU WANALAZIMIKA KWENDA 5 NA 6 BADALA YA CHUONI
Huo ni mfano zipo nchi nyingi tu wanatumia huo mfumo wa daraja 3 yaani (primary 6 or 8 years) + (secondar 4 years) + (chuo)Jibu kwanza swali langu si umefananisha elimu ya Kenya na Bongo?
We jibu swali langu hakuna haja ya maneno mengi.
Elimu ya kenya ni bora mara 5 ya tanzania ..nadhani wewe unashindwa kuelewa maana ya ELIMU KUWA BORA ...mfano halisi ni hapa tz ...wahitimu zaidi ya asilimia 70% wa form 4 WANA FIT ELIMU YA DARASA LA 7 AU 6 ..Maana yake ni form 4 jina tu ila elimu waliyo nayo ina fit primaryJibu kwanza swali langu si umefananisha elimu ya Kenya na Bongo?
We jibu swali langu hakuna haja ya maneno mengi.
Je umesoma huko ukajua ubora wa elimu?Elimu ya kenya ni bora mara 5 ya tanzania ..nadhani wewe unashindwa kuelewa maana ya ELIMU KUWA BORA ...mfano halisi ni hapa tz ...wahitimu zaidi ya asilimia 70% wa form 4 WANA FIT ELIMU YA DARASA LA 7 AU 6 ..Maana yake ni form 4 jina tu ila elimu waliyo nayo ina fit primary