Baraza la mitihani la Tanzania: Darasa la tano mwaka huu kumaliza elimu ya msingi mwaka 2027

Baraza la mitihani la Tanzania: Darasa la tano mwaka huu kumaliza elimu ya msingi mwaka 2027

Je umesoma huko ukajua ubora wa elimu?
Je umewahi fundishwa kwa kutumia kitabu cha Kikenya kama mimi na ukathibitisha ubora wa mitaala ya elimu ya Kenya?
Jibu ndiyo au hapana.
Wala usizungushe kujifanya unatumia logic, sisi tunataka facts , hatutaki hadithi za Abunuwasi.
NIMEKUAMBIA SHIDA YAKO NI KUELEWA MAANA YA NENO ..ELIMU BORA ..NENO ELIMU BORA LINAPIMWA KWA MAMBO MENGI ...elimu ya tanzania ni elimu ya CCM, UKADA , UCHAWA , RUSHWA NA UNDUGU KWA ASILIMIA 80% ...
 
Kwenye hili siwezi kosoa Kwasababu maswala ya kukaa shule muda mrefu hayana issue. Kwa mfano mtu anasoma udaktari MD miaka 5 na mwaka 1 wa internship miaka 6 unakuta unamaliza chuo na miaka 26 Hadi 27 Sasa wewe maisha unatafuta mwaka gani
Kwa sekta ya utabibu acha wasome sana mkuu!
 
NIMEKUAMBIA SHIDA YAKO NI KUELEWA MAANA YA NENO ..ELIMU BORA ..NENO ELIMU BORA LINAPIMWA KWA MAMBO MENGI ...elimu ya tanzania ni elimu ya CCM, UKADA , UCHAWA , RUSHWA NA UNDUGU KWA ASILIMIA 80% ...
Jibu kwanza swali langu, acha tantalila nyingi alafu mengine yaendelee.
 
Kama mtoto wa Darasa la Tano leo atamaliza elimu ya msingi mwaka 2027 akiwa Darasa la Sita, atakuwa na umri gani wakati huo? atakuwa kashakwiva kucope mazingira na vishawishi mbalimbali sekondari, na je, atakuwa tayari kuingia sekondari?
Sekondari zenyewe hizo za kata zina mazingira na vishawishi gani tofauti?
 
Kwani kisayansi na kisomi ni lazima nisome nchi zote ili niweze kujua kuwa elimu yao ni bora au la ...wewe ni anithi wa akili ...watu wanao fanyq utafiti wa elimu siyo lazimq wawe wamesoma hizo nchi.
Matusi yako yanaonyesha we si msomi mbobevu. Inawezekana ni msomi ila si mbobevu au mahiri.
Maana ukifatilia majukwaa ya wasomi duniani hakuna anayetukana matusi, wana akili mno, kila swali linajibiwa na hoja ikiwa na reference/ rejea.
Nakumbuka ulijinasibu kuwa una akili za kutosha ila tokea mwanzo unatukana na hata sasa hujaacha.
Inaonekana huna emotional intelligence, mi nimekuja kwa hoja kukuuliza kama umewahi kusoma elimu ya Kenya ili nijue kama unaweza tetea hoja yako.
Kwenye tafiti, moja ya kitu tunaangalia ni relevance na ili uwe na relevance ni lazima uwe na theoretical experience na hicho kitu. Sasa kama huna theoretical experience ya mtaala wa Kenya , huwezi judge mtaala wa Tanzania.
Nakuuliza tena: Je umewahi soma Kenya au kutumia vitabu vya Kenya?
 
Back
Top Bottom