Mimi la saba nilikunja nikiwa aged 15½.Miaka kumi au kumi na moja mtoto kamaliza
NIMEKUAMBIA SHIDA YAKO NI KUELEWA MAANA YA NENO ..ELIMU BORA ..NENO ELIMU BORA LINAPIMWA KWA MAMBO MENGI ...elimu ya tanzania ni elimu ya CCM, UKADA , UCHAWA , RUSHWA NA UNDUGU KWA ASILIMIA 80% ...Je umesoma huko ukajua ubora wa elimu?
Je umewahi fundishwa kwa kutumia kitabu cha Kikenya kama mimi na ukathibitisha ubora wa mitaala ya elimu ya Kenya?
Jibu ndiyo au hapana.
Wala usizungushe kujifanya unatumia logic, sisi tunataka facts , hatutaki hadithi za Abunuwasi.
Kwa sekta ya utabibu acha wasome sana mkuu!Kwenye hili siwezi kosoa Kwasababu maswala ya kukaa shule muda mrefu hayana issue. Kwa mfano mtu anasoma udaktari MD miaka 5 na mwaka 1 wa internship miaka 6 unakuta unamaliza chuo na miaka 26 Hadi 27 Sasa wewe maisha unatafuta mwaka gani
Ile miaka 5 inatosha kusoma kaka. Kwahiyo ikipungua huku msingi na sekondari kutakuwa na nafuu.Kwa sekta ya utabibu acha wasome sana mkuu!
Jibu kwanza swali langu, acha tantalila nyingi alafu mengine yaendelee.NIMEKUAMBIA SHIDA YAKO NI KUELEWA MAANA YA NENO ..ELIMU BORA ..NENO ELIMU BORA LINAPIMWA KWA MAMBO MENGI ...elimu ya tanzania ni elimu ya CCM, UKADA , UCHAWA , RUSHWA NA UNDUGU KWA ASILIMIA 80% ...
Swali gani ....au kuhusu elimu ya kenya kuwa bora ? ..jibu elimu ya kenya ni bora mara 5 kuliko yetuJibu kwanza swali langu, acha tantalila nyingi alafu mengine yaendelee.
Wafanyakazi "watoto", Waliokwenye kipindi cha kubalehe....mi nawazia Ajira, tutakuja kukutana na wafanyakazi wanaojifunza kutongoza, kunywa pombe na kujipamba
Umewahi soma?Swali gani ....au kuhusu elimu ya kenya kuwa bora ? ..jibu elimu ya kenya ni bora mara 5 kuliko yetu
Kwani kisayansi na kisomi ni lazima nisome nchi zote ili niweze kujua kuwa elimu yao ni bora au la ...wewe ni anithi wa akili ...watu wanao fanyq utafiti wa elimu siyo lazimq wawe wamesoma hizo nchi.Umewahi soma?
Sekondari zenyewe hizo za kata zina mazingira na vishawishi gani tofauti?Kama mtoto wa Darasa la Tano leo atamaliza elimu ya msingi mwaka 2027 akiwa Darasa la Sita, atakuwa na umri gani wakati huo? atakuwa kashakwiva kucope mazingira na vishawishi mbalimbali sekondari, na je, atakuwa tayari kuingia sekondari?
Matusi yako yanaonyesha we si msomi mbobevu. Inawezekana ni msomi ila si mbobevu au mahiri.Kwani kisayansi na kisomi ni lazima nisome nchi zote ili niweze kujua kuwa elimu yao ni bora au la ...wewe ni anithi wa akili ...watu wanao fanyq utafiti wa elimu siyo lazimq wawe wamesoma hizo nchi.
Asanteni kwa taarifa. Kila la kheri kwao
mm nakumbuka enzi zetu unakesha unasoma ukitengea kidog tu unaachwa nafasi 30 ukikamata moja unatakiwa ukaze buti uendelee kuwa 3 boraSiku hizi kwenye shule zetu hakuna ushindani