nra2303
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 2,975
- 2,547
Enzi zetu hata matriculation hurusiwi kufanya kwa izo passmark! Tena kasoma h's ndio balaa kabisa! Msimdanganye ajipange na diploma etc,chuo sina uhakika manake,unaweza kuwa na principal 2 ila usipate chanso cz of wingi wa watu waliofaulu vyema zaidiUnaingia wanaitaj D mbili