Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

80% ya watahiniwa wamefeli Hisabati. Kuna haja ya kuwatahini pia walimu wa Namba aisee. Kuna tatizo!
 
Sasa katika matokeo wanaoandikiwa *E* manaake nini??
 
Kwenye jina la mtoto wangu hakuna matokeo wameandika "e" tu.nini maana yake..????au kapiga Zero.
 
Hapo kuchaguliwa ngumu
 
Pole sana. Ushauri mtafutie kozi asomee CBE kuna kozi nyingi tu. Kurudia ni issue sana
 
Thanx god mdogo wangu wa mwisho amepata KIJITI cha 14 chochote cha kunishauri Mimi kuhusu huyu dogo wakuu S2744/0062.
Hongera zake, kuna shule flani ada zao mamilioni but output zao mdebwedo!
 
Kuna dogo apa ana physics=D,chemistr=D,mathmatics=D,english=B,mengne hayo yote ana C je huyu kombi zipi ztamfaa...ye anapenda sayansi
 
Kuna dogo apa ana physics=D,chemistr=D,mathmatics=D,english=B,mengne hayo yote ana C je huyu kombi zipi ztamfaa...ye anapenda sayansi
Shule za binafsi sio ishu hawaangalii kubalansi comb.....
PCM...PCB...CBG...PGM zote saw a tu
Hela yako tu ht km una DDD...but ni kwa zile ambazo nafasi ni nyingi waombaji wachache
 
Matokeo yanapatikana kwa kupitia TextTETEA sasa. Tuma MATOKEO kwa 0759350150 kupata maelekezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…