Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

C
Kama wamepikwa na tcu unadhani internship.huwa ni ya kazi gani?

Au ushawahi kufikiria kwa nn mtu asome sheria kisha akasome law school mwaka mzima ndiyo awe wakili?

Islamabaddddddd....
Chief unajichanganya sana to the level tunaanza kuhoji uelewa wako. Hapa unakubali kwamba internship ni kwa ajili ya kumuivisha huyu daktari kivitendo, hapatakiwi kuwa na obstacles acha akaivishwe kivitendo then awe assessed post training kama kweli amewiva. Ile pre internship imewekwa hapo na wajinga fulani yaani sawasawa na kuvunja ngazi uliotumia kupandia juu ili wengine wasipande
 
1) Differing curricula by various Medical Schools

2) Differing competences by different graduates

3) The need to standardise the graduates to serve the people
1. Then huo pre internship unasaidia vipi kuhamonize uelewa wa hao wanafunzi?
2. Kwanini harmonization isifanywe na TCU kwa kufanya curriculum ziwe sawa

3. Mie sio daktari lakini nilifikiri medical profession inafuata muongozo wa WHO hivyo curriculum kutotofautiana sana
 
1) Differing curricula by various Medical Schools

2) Differing competences by different graduates

3) The need to standardise the graduates to serve the people
Vichekesho kwamba mtiani mmoja basi ufanye ku standardise wahitim wa vyuo tofauti, kwa watu kama wewe bado unakuta upo office ya uma, shida sana
 
Vyuo binafsi vimechangia sana kuzorota kwa Taaluma. Vinatoa degree bila wahitimu kuwa 'competent'

Utashangaa Assistant Medical Officer (AMO) ni competent kuliko MD siku hizi

Naunga mkono Baraza kutoendeshwa na wanasiasa. Tunataka Madaktari competent

Hata wafeli 90% ni sawa tu. Tunataka watu wakasome 'medicine' siyo wakachukue medicine kama wanavyosema

JokaKuu
Na ujue, haya yote yanatokana na siasa zetu za kipuuzi inazozifanya CCM

Ile taasisi inayosimamia vyuo vikuu inafanya kazi zake ikisikiliza CCM inataka nini; na uwepo wa taasisi hiyo na wateuliwa wake wote ni fadhira inayoanzia CCM.
 
1. Hiyo pre internship inasaidia vipi kuhamonize uelewa wa wanafunzi
2. Kama mnasema vyuo vina curriculum tofauti hiyo mitihani ya pre- internship inatungwa kwa kutumia curriculum ipi
3. Mbona TCU wamekua wakisimamiia maboresho ya curriculum za vyuo kuwa competency based.
4. Na Bado kwa kujua kwamba hakuna graduate anayekuwa 100% competent atokapo chuoni. Hiyo ndo role ya Internship internship to equip graduate with the highest needed level of competency na hiyo aquired competency inapimwa kwa kiwapa post internship exams
 
1. Then huo pre internship unasaidia vipi kuhamonize uelewa wa hao wanafunzi?
2. Kwanini harmonization isifanywe na TCU kwa kufanya curriculum ziwe sawa

3. Mie sio daktari lakini nilifikiri medical profession inafuata muongozo wa WHO hivyo curriculum kutotofautiana sana
1. Ukifeli ina maana you are unfit kufanya intern. Ndo harmonization hiyo.

2. TCU iko chini ya wizara ya elimu na ina act yake. Council/Mabaraza ya taaluma yote yako chini ya wizara husika na yana acts na kanuni zake pia. TCU hawawezi kuachiwa kila kitu, lazima kuwe na check and balance.

3. Haya mabaraza yanayofanya kwa sasa ndiyo utaratibu wa dunia nzima ulivyo, ndiyo standard za WHO. Zamani watu walikuwa wanamaliza intern kisha wanapewa leseni, hiyo haikuwa standard ya WHO.
 
Vichekesho kwamba mtiani mmoja basi ufanye ku standardise wahitim wa vyuo tofauti, kwa watu kama wewe bado unakuta upo office ya uma, shida sana
Hivi unajua kila chuo kina curriculum yake?

Ni sahihi kabisa MCT kutoa "Standard Exam" ili kuchekecha mbivu na mbichi[emoji736]
 
MCT, TNMC, HLPC, PCT endeleeni kukaza ivoivo, hatutaki mazumbukuku maeneo ya kazi...

Wapikeni vijana vile inavyotakiwa, hizi kelele za mitaani zisiwasumbue...

Kule law school waliunda mpaka tume mwaka juzi. Nenda kafuatilie majibu yalikuwaje ndiyo utajua hawa intern doctors wanatakiwa wakae kwa kutulia..
Hawa MCT hawampiki yeyote bali ni wapigaji tu! Hakuna awezaye kuelezea umuhimu na mantiki ya ya Pre-ntern exams zaidi ya kulenga upigaji na kluandaa mazingira ya rushwa tu! Waliopewa dhamana ya kuwafundisha (VYUO) wamethibitisha kupitia mitihani kuwa vijana wamepikwa, wakapikika na wako tayari kuanza hatua ya mbele zaidi yaani Intern's training! Kama kuna chuo hakiaminiki kibaneni hicho chuo na si kusumbua wahitimu wote!! Wanataka pesa tu hawa hakuna chochote!!
 
Msichojua ni kwamba Doctors,Nurses,Lab. Scientists,Pharmacysts wote wanafanya hiyo mitihani na ufaulu wao uko vilevile..

Ila jiulize kwa nini hao Doctors wanalalamika?

Kuna sababu behind, na mabaraza hayataacha kufuata misingi kisa kelele za mitandaoni.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) ambalo kimsingi ndilo lenye mamlaka ya kisheria katika k
Mimi ndio maana nasema , hiyo mikozi ya miaka mi5 wengine tulisoma kutengeneza title tu, ila siwezi kwenda kuhangaika na mizee yenye roho ya kichawi kama hiyo.., umeshanipa degree yangu basi, inatosha.
 
1. Ukifeli ina maana you are unfit kufanya intern. Ndo harmonization hiyo.

2. TCU iko chini ya wizara ya elimu na ina act yake. Council/Mabaraza ya taaluma yote yako chini ya wizara husika na yana acts na kanuni zake pia. TCU hawawezi kuachiwa kila kitu, lazima kuwe na check and balance.

3. Haya mabaraza yanayofanya kwa sasa ndiyo utaratibu wa dunia nzima ulivyo, ndiyo standard za WHO. Zamani watu walikuwa wanamaliza intern kisha wanapewa leseni, hiyo haikuwa standard ya WHO.
Umepiga bla bla jomba. Pre internship sio muongozo wa WHO
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) ambalo kimsingi ndilo lenye mamlaka ya kisheria katika kusimamia taaluma ya Utabibu nchini linalalamikiwa na Wanataaluma wa tiba hasa madaktari tarajali kwa kukiuka makubaliono yaliyotokana na majadiliano ya kikao kati ya wataalam hao tarajali pamoja na Naibu waziri wa Afya Dr
Tatiz mnataka msoem medicn kwa mseleleko, kama gandal la ndizi
 
Hivi unajua kila chuo kina curriculum yake?

Ni sahihi kabisa MCT kutoa "Standard Exam" ili kuchekecha mbivu na mbichi[emoji736]
Nakataa, labda vyuo vya nje ya nchi, wawanweza pishana nini kinasomwa katika semester, ila mwisho wa safari ya miaka mitano kila kijana atakua amepea kile kijana wa vyuo vingine amepata, , ukitaka kujua hili waulize TCU, au fanya utafiti mwenyewe ,
 
Lakini twende mbele turudi nyuma, kama watunga mitihani wameundiwa tume, kuna haja gani ya kuendelea kufanya kinschilalamikiwa na kinachunguzwa?
Kwa hiyo baraza la mitihani la taifa likiwa linachunguzwa mitihani ya shule za msingi na secondary inatakiwa isiwepo?
 
Kichwa chako kimejaa maji tu? Unapimaje utofauti wa vyuo kwa maswali ya kuchagu kwa masaa 3? Kupima vyuo ni kazi ya MCT? MCT wanapima wanafunzi au madaktari?
Aliyemaliza internship na ambaye hajaanza yupi ni Daktari?

Unaandika ujinga!
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) ambalo kimsingi ndilo lenye mamlaka ya kisheria katika kusimamia taaluma ya Utabibu nchini linalalamikiwa na Wanataaluma wa tiba hasa madaktari tarajali kwa kukiuka makubaliono yaliyotokana na majadiliano ya kikao kati ya wataalam hao tarajali pamoja na Naibu waziri wa Afya Dr Godwin Moleli akimwakilisha Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu aliyefunga mjadala kwa kuunda tume ya kiuchunguzi juu ya malalamiko yao.

Wanauliza ni kwanini MCT wametangaza tarehe ya kufanya mtihani wa Pre-Internships mwaka huu wakati kamati ya Mhe Waziri bado haijatoa ripoti yake? Mwenye uhakika na usalama wa huo mtihani ni nani haliyakua watuhumiwa wanachunguzwa? Siyo ukaidi ni nini?

Ni takribani zaidi ya Mwezi mmoja kupita baada ya Mhe Waziri kutoa taarifa kuundwa kwa tume ya kitaalam itakayochunguza ni kwanini Wataalam hao wamekua wakifeli mitihani zaidi ya nusu ya watahiniwa wote? Hata kabla Kamati au Tume ya Mhe Waziri haijatoa Ripoti yake imekuaje MCT wanatangaza mtihani? Yaani wanachunguzwa halafu wanaendelea kufanya kile kile nicholalamikiwa, hii ni sawa?

OMBI/USHAURI KWA MHE WAZIRI
MCT wasitishe kwanza kusajili watahiniwa kwa ajili ya mtihani ambao watungaji wake wametiliwa mashaka.

Kitu kiingine ni kwamba. Hakuna mantiki au hoja yenye mashiko kwenye kufanya mtihani wa Preinternship wakati kuna mtihani wa Postinternship, kwenye preinternship wanapima kitu gani hasa wakati wanafunzi hawa wamekaa darasani miaka 5 na wakafaulu katika vyuo walikotoka? Kama vyuo vingekuwa na walakini TCU wana kazi gani?

Mhe Waziri ulisema kwamba watakaofanya mitihani ya Preintetnships wataendelea na kazi mahospitalini haijalishi wamefeli au wamefaulu, hii maana yake nini? Nini mantiki,tija na umuhimu wa Preinternship zaidi ya siasa na kikundi cha watu wachache kujitengenezea posho kutoka pesa za umma ambazo zingefanya mambo mengine?

Hivyo basi, Mhe Waziri kwa niaba ya Watoa elimu ya utabibu nchini nikiwa kama mwalimu wa vijana hawa, sioni kama Baraza likiwatendea haki, tutapoteza wataalam wengi bila sababu za msingi. Tuige mifano toka kwenye mataifa ya wenzetu.

MCT wasitishe mara moja usajili wa watahiniwa wa mtihani wa preinternship mpaka tume yako itakapokuja na majibu Mhe Waziri.

KAZI IENDELEE!

===================================

PIA SOMA:

UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

Sina imani na Kamati Huru iliyoundwa na Ummy Mwalimu kufuatilia sakata la Madaktari Watarajali
Msilete siasa kwenye profession

Waziri hasimamii ubora wako yeye anasimamia Sera

Msimuingize mh waziri kwenye mgongano usio na sababu

Fanyeni mitihani
Ninyi Bado hamjatambulika kwenye fani hadi mfaulu

Wanasheria wamekubali na wametulia

Mnachofanya ni kumharibia mh waziri kibarua chake tu
 
Kwa hiyo baraza la mitihani la taifa kikiwa linachubguzwa mitihani ya shule za msingi na secondary inatakiwa isiwepo
Tofautisha NECTA na MCT, kwanza MCT hawakuundwa kwa ajili ya kutoa mitihani, NECTA ni chombo cha mitihani. NECTA ipo kwa ajili ya mitihani, isipofanyika kuna madhara, MCT mitihani isipofanyika hakuna madhara kwa sababu haikuwepo tangu enzi. Hata nchi za Wenzetu hawana Ujinga huu.
 
Kwa hiyo baraza la mitihani la taifa kikiwa linachubguzwa mitihani ya shule za msingi na secondary inatakiwa isiwepo?
Hawa vijana wa siku hizi wamekengeuka

Wana viongozi wanaowaangamiza kabisa

Ni rahisi kuvuka hata three intakes za watarajali na Bado sekta isione impact kwasababu nafasi za ajira Bado ni ndogo

Vijana wajitafakari
 
Hiyo mitihani inatungwa vipi mzee wakati watungaji wanalalamikiwa? Au Waziri yeye mwenyewe na tume ndio watungaji? Wengine hatujui haya mambo tunatumia common sense
Walimu wa hesabu wakilalamikiwa tutafuta maths papers?
 
Back
Top Bottom