Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wale mikia mnaomponda Genta, kabla ya kuendelea kufanya hivyo mjitafakari.
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Simba SC 'tumezubaa' sana, 'tunakomolewa' huku Yanga SC ikitumia mwanya huu 'Kujiimarisha' 'zaidi 'Kimkakati' ili kuwa 'Mabingwa wa NBC Premier League
Kwa masikitiko makubwa Asubuhi ya leo nilianzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema kuwa Kitengo cha Umafia Simba SC Kinepwaya na kwamba nipewe Mimi na Wenzangu Sita (6) na Yanga SC hatokuwa Bingwa kwa Mshangao huo Uzi siuoni (kwa Lugha sahihi ni kama vile Umefutwa) kwasababu wazijuazo Walioufuta...
Upuuzi wa Kocha Pablo wa Simba SC unavyozidi kuisafishia Yanga SC njia ya kuwa Mabingwa wa NBC Premier League kwa 75% mpaka sasa
Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha? Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha...
CEO wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo acha Kutumika na Yanga SC yako na GSM 'Kuionea' Simba SC yasije kukuta makubwa na usiamini
Ni kwamba Masela ( Wahuni ) wote wa Ubungo ( hasa pale UFI ) pale Manzese na Magomeni ( Migomigo ) tunakujua fika kuwa Wewe ni Yanga SC 'lia lia' na wengine ni 'Mashemeji' zako vile vile kwa Dada zako. Wana Simba SC tunaokujua tumeshakuvumilia vya Kutosha juu ya 'Hujuma' zako ambazo umeanza...