Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Unapenda timu zinazonunua Mechi? Dakika tano zilitokea wapi hadi zikaongezwa? Suarez kajiangusha na goli la sita si halal rushwa hatari...
Msiojua mpira kaeni mkilialia i have a apecial xonnextion witj Barca am going to reveal the next one
 
Mamamaaaaaaeeeeee
Wanatooooooooobwaaaaaa refa na **** lainz man
Kwa approach waliyotumia psg acha wafungwe tu hakuna namna nyingine wewe huwezi cheza na timu kama barca utegemee kulinda goli tu dk 90!!kila sekunde wako kwako jamani!???? Na hata hizo 6. Ni chache hata kumi zingefika kama nao wangekuwa makini!! Mpira ni mchezo katiri sana jamani.
 
penati za uongo,,faulo za uongo ni kubebwa tu mwanzo mwisho
Walikuwa wanajichelewesha kurusha mipira na kupiga faulo. Refa ana wahesabia tu.

Good & enjoyable football by Barcelona. Hii timu mtaipenda tu. Si beki wala kipa wala nani ni vyenga tu.

Ha ha ha tunawataka Bayern wababe wa Vilaza wa England.

Hiyo ndio Barca bhana. Bora uipende tu.
 
Tell them naishiwa pumzi ha ha ha ha
 
Me niliwa predict wana mentality immature hawajakomaa kisaikolojia mistake no 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…