shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Majbu umepataKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majbu umepataKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Barcelona wamebebwa kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho
Na muame..!Me nitakuwa wa pili kuhamia bro
barca wamebebwa mpaka aibu aisee yaani magoli manne ni ya refaHata kama wamebebwa, Psg wamecheza mchezo wa kishamba mno! Barca wamekimbiza soka la kiume leo
Hata kama wamebebwa, Psg wamecheza mchezo wa kishamba mno! Barca wamekimbiza soka la kiume leo
Hakuna kitu kama hicho! Kwa mpira upi wa psg leo? Dk zote mpira upo langoni mwa psg na walitakiwa wapigwe 15 kabisaWaamuzi wamechangia kuwanyonga watoto wa Paris...
Ila huyu Neymar huyu,ana roho mbaya sana..!
Ushakunywa mkuu...!barca wakitinga robo fainali nakunywa sumu leo leo
Msiojua mpira kaeni mkilialia i have a apecial xonnextion witj Barca am going to reveal the next oneUnapenda timu zinazonunua Mechi? Dakika tano zilitokea wapi hadi zikaongezwa? Suarez kajiangusha na goli la sita si halal rushwa hatari...
Karibu huku kwetu hatunaga matatizo na watu[emoji4][emoji4]Haya ni maajabu kwa Spain najiunga rasmi kuwa mshabiki wa barcelona
Kwa approach waliyotumia psg acha wafungwe tu hakuna namna nyingine wewe huwezi cheza na timu kama barca utegemee kulinda goli tu dk 90!!kila sekunde wako kwako jamani!???? Na hata hizo 6. Ni chache hata kumi zingefika kama nao wangekuwa makini!! Mpira ni mchezo katiri sana jamani.Mamamaaaaaaeeeeee
Wanatooooooooobwaaaaaa refa na **** lainz man
Walikuwa wanajichelewesha kurusha mipira na kupiga faulo. Refa ana wahesabia tu.penati za uongo,,faulo za uongo ni kubebwa tu mwanzo mwisho
Tell them naishiwa pumzi ha ha ha haWalikuwa wanajichelewesha kurusha mipira na kupiga faulo. Refa ana wahesabia tu.
Good & enjoyable football by Barcelona. Hii timu mtaipenda tu. Si beki wala kipa wala nani ni vyenga tu.
Ha ha ha tunawataka Bayern wababe wa Vilaza wa England.
Hiyo ndio Barca bhana. Bora uipende tu.
Mpira dk zote 90 upo langoni mwa psg. Psg hawajui namna ya kupack basi hilo wanaliweza chelsea tu. Hata kama wamebebwa (japo hawajabebwa) ila barca kapiga sokabarca wamebebwa mpaka aibu aisee yaani magoli manne ni ya refa
Me niliwa predict wana mentality immature hawajakomaa kisaikolojia mistake no 1Kwa approach waliyotumia psg acha wafungwe tu hakuna namna nyingine wewe huwezi cheza na timu kama barca utegemee kulinda goli tu dk 90!!kila sekunde wako kwako jamani!???? Na hata hizo 6. Ni chache hata kumi zingefika kama nao wangekuwa makini!! Mpira ni mchezo katiri sana jamani.
He he he...Ushakunywa mkuu...!
Nimekusoma mkuu, ila linesman angekuwa Colombia yule, kesho wangezikaMe tim maumivu mkuu
Kwa Wenger tena jana
Kulikua kama leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mamamaaaaaaeeeeee
Wanatooooooooobwaaaaaa refa na **** lainz man
Ndio walibebwa na ndege mpaka Paris wakapigwa 4 wakabebwa mpaka Spain wakampiga mtu 6Barcelona wamebebwa kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho
Ha ha ha ha ha haFUTURE IMPOSSIBLE TENSE
Kaka Belooooooo, kichwa kibovu kama bashite.