uko sahihi kabsa MESSI 3 NEYMAR 2 SUAREZ 2 hao viungo wakipiga goli moja moja si mbayaKesho kutwa kuanzia Ivan Rakitic ,Rafinha ,Iniesta wanatakiwa wafunge goal moja moja MSN ,Neyma 2 ,Suarez 2 king 3
uko sahihi kabsa MESSI 3 NEYMAR 2 SUAREZ 2 hao viungo wakipiga goli moja moja si mbaya
Barca watahamia kwa PSG ili kuhakikisha wana score.Kesho kutwa kuanzia Ivan Rakitic ,Rafinha ,Iniesta wanatakiwa wafunge goal moja moja MSN ,Neyma 2 ,Suarez 2 king 3
huu utetezi umefanana na id yakoBarca watahamia kwa PSG ili kuhakikisha wana score.
PSG lazima waweke wachezaji wenye kasi kama Moura na Dimaria.
PSG atapata magoli 2 kwa mashambulizi ya kushutkiza.
Barcelona lazima atolewe.
Hii mechi imekuwa tamu hata kabla haijaanza.
Yule kocha wa PSG na mkubali sana kwenye mtoano.
Ha ha PSG ni wateja wetu Demaria ,Moura hautawaona kabisa katikati nitakuazima torch uwamulike sikoseagi mkuu uliza kwanini ninacheka angalia thread zangu za mwaka 2013 about BarcelonaBarca watahamia kwa PSG ili kuhakikisha wana score.
PSG lazima waweke wachezaji wenye kasi kama Moura na Dimaria.
PSG atapata magoli 2 kwa mashambulizi ya kushutkiza.
Barcelona lazima atolewe.
Hii mechi imekuwa tamu hata kabla haijaanza.
Yule kocha wa PSG na mkubali sana kwenye mtoano.
mbona hawakufunga mechi ya kwanza? au hawakucheza?uko sahihi kabsa MESSI 3 NEYMAR 2 SUAREZ 2 hao viungo wakipiga goli moja moja si mbaya
unaelewa maana ya aggregate ?mbona hawakufunga mechi ya kwanza? au hawakucheza?
ok...kwa hiyo mechi ya kwanza hawakufunga makusudi walikuwa wanASUBIRI AGGREGATEunaelewa maana ya aggregate ?
kidooogo umeanza kunielewaok...kwa hiyo mechi ya kwanza hawakufunga makusudi walikuwa wanASUBIRI AGGREGATE
BARCA watapigwa tena timu mbovu sanakidooogo umeanza kunielewa
NIKUPE SIRI
Barca walipokea cha juu kutoka kwa shirika la ndege la Emirates ili wapoteze na hyo imewaingizia pesa kampuni hyo kutokana na maelfu ya mashabiki ambao wanaendelea kumiminika nchini Spain
BARCA KUPOTEZA NI DANGANYA TOTO HUONI KING ALIWAPIGIA HADI SIMU
timu mbovu inaongoza ligi[emoji15] [emoji15]BARCA watapigwa tena timu mbovu sana
wanawaongoza wabovu wenzao........ni sawa na kusema magari mabovu yanakokotana....la liga kuna timu mbovu karibia zote .....timu mbovu inaongoza ligi[emoji15] [emoji15]
kweli maajabu hayaishi duniani
hakuna mzaha....barca hawawawezi PSG ......WALIZIDIWA mwanzo mwisho.......Barca wataendelea kuwafunga akina CELTA VIGO....hao ndio saizi yaoHao rafiki zangu walifanya mzaha 'first leg'. Inahitaji neema ya pekee kusonga mbele