Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Mkuu kuhusu kuwapiga 6 haipingiki ila wakilegeza huenda wakaondoka na 8
Kesho kutwa kuanzia Ivan Rakitic ,Rafinha ,Iniesta wanatakiwa wafunge goal moja moja MSN ,Neyma 2 ,Suarez 2 king 3
 
  • Thanks
Reactions: PNC

uko sahihi kabsa MESSI 3 NEYMAR 2 SUAREZ 2 hao viungo wakipiga goli moja moja si mbaya
 
Barca watahamia kwa PSG ili kuhakikisha wana score.
PSG lazima waweke wachezaji wenye kasi kama Moura na Dimaria.
PSG atapata magoli 2 kwa mashambulizi ya kushutkiza.
Barcelona lazima atolewe.

Hii mechi imekuwa tamu hata kabla haijaanza.

Yule kocha wa PSG na mkubali sana kwenye mtoano.
 
huu utetezi umefanana na id yako
 
Barca watahamia kwa PSG ili kuhakikisha wana score.
PSG lazima waweke wachezaji wenye kasi kama Moura na Dimaria.
PSG atapata magoli 2 kwa mashambulizi ya kushutkiza.
Barcelona lazima atolewe.

Hii mechi imekuwa tamu hata kabla haijaanza.

Yule kocha wa PSG na mkubali sana kwenye mtoano.
Ha ha PSG ni wateja wetu Demaria ,Moura hautawaona kabisa katikati nitakuazima torch uwamulike sikoseagi mkuu uliza kwanini ninacheka angalia thread zangu za mwaka 2013 about Barcelona
 
ok...kwa hiyo mechi ya kwanza hawakufunga makusudi walikuwa wanASUBIRI AGGREGATE
kidooogo umeanza kunielewa

NIKUPE SIRI

Barca walipokea cha juu kutoka kwa shirika la ndege la Emirates ili wapoteze na hyo imewaingizia pesa kampuni hyo kutokana na maelfu ya mashabiki ambao wanaendelea kumiminika nchini Spain

BARCA KUPOTEZA NI DANGANYA TOTO HUONI KING ALIWAPIGIA HADI SIMU
 
BARCA watapigwa tena timu mbovu sana
 
Hao rafiki zangu walifanya mzaha 'first leg'. Inahitaji neema ya pekee kusonga mbele
 
timu mbovu inaongoza ligi[emoji15] [emoji15]
kweli maajabu hayaishi duniani
wanawaongoza wabovu wenzao........ni sawa na kusema magari mabovu yanakokotana....la liga kuna timu mbovu karibia zote .....
 
Hao rafiki zangu walifanya mzaha 'first leg'. Inahitaji neema ya pekee kusonga mbele
hakuna mzaha....barca hawawawezi PSG ......WALIZIDIWA mwanzo mwisho.......Barca wataendelea kuwafunga akina CELTA VIGO....hao ndio saizi yao
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom