Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

mi sijaona mpira wowote waliocheza barca Zaidi ya kubebwa na refa.....
Fanya kitu kimoja. Ipende Barca utake usitake. Utakufa kwa Pressure. Tambua kinyongo huzaa Cancer.

Ni timu pekee ambayo kuitoa Champion League round ya 16 ni ngumu sana.

Barca ndio timu pekee ukiwa shabiki wake; unaingia uwanjani una 60% ya ushindi. Ila huko Arsenal sijui Real Madrid utakufa mapema.
 
Viva Barca[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
C6bYBErVMAAKene.jpg
 
Nna bendi Congo, njoo uwe mnenguaji.
Tena awe anakata viuno kuanzia hata beat haijaanza hadi mwisho baada ya kumaliza beat akate tu ndio unampa mshahara wake
 
Back
Top Bottom