Barcelona ya Mwaka 2009 - 2011 ndio timu bora ya wakati wote kwa upande wangu

Barcelona ya Mwaka 2009 - 2011 ndio timu bora ya wakati wote kwa upande wangu

Kwangu mimi Tukuyu Stars ya Mbeya ya 1986 ya akina Jimmy Moreeni. Ndio timu bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka Tanganyika.
 
Tangu uzaliwe nadhani hujawahi kushuhudia timu ikibeba UEFA mara tatu mfululizo

Madrid 2015-18
 
Hakika ilikuwa co kushinda tu pia unapata na burudani cdhan timu kama ile itatikea tena dunian
 
Barca hii ilikuwa moto chini.
IMG_20230317_151331.jpg
 
According To FIFA Real Madrid Ndio klabu Bora Ya Dunia ya wakati wote wew ni Nani unasema Barcelona
 
Back
Top Bottom