Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wacha kuilinganisha EPL na ligi za kipuuzi wewe.. Kuna upambanaji gani sasa huko unapopasifia?
 
We ongelea Chadema tu, mpira waachie wajuzi. Suarez na Neymar walijiangusha eneo la hatari, ni tofauti na kuangushwa!
Mpira c pasi tu kama arsenal, end results maters a lot mkuu. unapataje matokeo ndio hapo unatofautisha kati ya martial wa Man u na Andres iniesta, tactically barca wamewabaka PSG
 
Tena refa wa leo amejitahd sana kuwatoa mchezo barca....ilifkia hatua neymar anachewa physical contact mda wote...

Suarez nae ndo kabsa..kila mpira Suarez anao ugusa ama kikaba anawekewa faul... Hii ilisababisha hata wachezaji kichangajikiwa na kupoteza focus ya mchezo.

Hapo ndipo walipo ona psg wamesha maliza mchezo....ndo barca dk.baac wameshinda..

Lakn ushaur Wangu....ucfkr barca hajaonewa... Nae alionewa na ndo Enrique mda mwing alikua anamgas mwamuz wa akiba.... Thatz football
 
Reactions: PNC

Mkuu psg na wao wameshika mpira Mara 3 ndan ya eneo la hatar
Kwani ile alio angushwa Di maria ndani ya 18 haikuwa penalt halali tena alibaki na kipa beki akatokea nyuma na kumuangusha lakini hamna kadi wala penalt je haikuwa Penalt halali ile?
 
Povu huyo refa kwani ni walaliga? Maelezo mengi pumba tupu. Haya nyie wenye marefa na ligi ngumu jana mmenywesha kumi
Kama Pumba tupu umeyasoma ya nini..means umekula pumba hivyo wewe ni Nguruwe kama sio mbwa!
 
Yaani bora hata arsenal aliepigwa 10 kuliko psg.
Umeona mtu wangu,kwa timu yenye wachezaji wenye hadhi km ya psg na tayari walisha tangulia 4-0 nahisi familia ya soka imepata mada kubwa sana ya kuzungumzia
 
Bro wewe umeangalia mpira gani huo?
 
PSG
Wamedhalilisha mpira wa miguu.
Labda kwa kuwa leo siku ya wanawake wakaamua wacheze kama wake zao ili kuwaenzi.
Am very frustrated.

Watakao kuja Congo, karibu Bukavu
 
Timu zote zikianza kununua marefa basi Soccer itakuwa kama Mieleka refa anapigwa kibao analala and then wachezaji wanaongezka hadi wanatia goli and then refa anamshwa na kupiga kipyenga akinyoosha mkono kati yaani goli safi
 
Refaree kumbe alilala Nyumbani kwa Messi siku moja kabla ya mechi Muhahahahaha
 
Reactions: PNC

Deniz Aytekin RTRPIX
Muahahahaha ndani kavaa jezi ya Barca
 
PSG
Wamedhalilisha mpira wa miguu.
Labda kwa kuwa leo siku ya wanawake wakaamua wacheze kama wake zao ili kuwaenzi.
Am very frustrated.

Watakao kuja Congo, karibu Bukavu
Dah,ndo nimekumbuka leo,itakua PSG wamewasaidia wanawake katika......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…