Si kosa lako. Inawezekana ni ushabiki ndo unakusumbua. Nna wacwac kama sio shabiki wa Madrid bac ni Man U au Chelsea. Just enjoy the moment ukitaka kupima penati halali na zisizo halali haohao PSG first half tu kuna handballs kama mbili za ndani ya D walocommit. Sasa unataka tuanze kuangalia kosa mojamoja utaweza? Ndo mana hata baada ya match hii hutosikia mwamuzi kafungiwa. Kajaribu kubalance match kadri awezavyo. Hajafanya kosa la ajabu, match nzima barca imetawala. PSG waliofungwa hawalalamiki, wewe huku povu kibao. VISCA EL BARCA![emoji173][emoji173][emoji173]. Enjoy the moment, enjoy the history written today.