Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Si kosa lako. Inawezekana ni ushabiki ndo unakusumbua. Nna wacwac kama sio shabiki wa Madrid bac ni Man U au Chelsea. Just enjoy the moment ukitaka kupima penati halali na zisizo halali haohao PSG first half tu kuna handballs kama mbili za ndani ya D walocommit. Sasa unataka tuanze kuangalia kosa mojamoja utaweza? Ndo mana hata baada ya match hii hutosikia mwamuzi kafungiwa. Kajaribu kubalance match kadri awezavyo. Hajafanya kosa la ajabu, match nzima barca imetawala. PSG waliofungwa hawalalamiki, wewe huku povu kibao. VISCA EL BARCA![emoji173][emoji173][emoji173]. Enjoy the moment, enjoy the history written today.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Barcelona imeichanachana PSG kwa kuizaba mabao 6-1 na hivyo kusonga robo fainali kwa mabao 6-5. Katika mchezo wa kwanza,Barca walizabwa mabao 4-0

Barcelona imeweka rekodi mpya kwenye michuano ya Mabingwa Ulaya kwa kuwa timu ya kwanza kupindua matokeo ya tofauti ya mabao 4.

Premier League mko wapi muige upambanaji wa La Liga giants?

Wacha kuilinganisha EPL na ligi za kipuuzi wewe.. Kuna upambanaji gani sasa huko unapopasifia?
 
We ongelea Chadema tu, mpira waachie wajuzi. Suarez na Neymar walijiangusha eneo la hatari, ni tofauti na kuangushwa!
Mpira c pasi tu kama arsenal, end results maters a lot mkuu. unapataje matokeo ndio hapo unatofautisha kati ya martial wa Man u na Andres iniesta, tactically barca wamewabaka PSG
 
Hivi aaanachaje kuhathirika kisaikolojia mtu aliyepigwa goli 4... hana hata away goal... afu uhathirike wewe unayeongeza.

Mistake ya psg ni kudefence saana kuliko kushambulia... na hii walifanya kwa kulinganisha uwezo wao na barca..
It means bao 4 haikuwa uwezo wao...

Then walipopata lile bao mooja wakajiamini kwamba wamewaongexea mzigo barca ambao hawatauweza kuurudisha.... waksjisahau wakapigwa bao tatu ndan ya dk kumi

Ofcourse kwenye mpira makosa yapo . Referee sio nabii... ila ukisema eti kila akinawa mtu au kila kisa ndan ya box ufunike.... vuta picha now kungekuwa na penalty ngap .... ungekuwa mpira wa miguu au kikapu...

Referee husoma sheria za mchezo... maxingira ya mchezo na jinsi ya kuuchezesha mchezo... sio kila unachokiona wewe ni kosa ukadhan ni kosa hadi kwa mchezechaji.....

Tukubaliane tu... mapungufu ndio.. ila na uzembe upo mkubwa sana kwa PSG
Tena refa wa leo amejitahd sana kuwatoa mchezo barca....ilifkia hatua neymar anachewa physical contact mda wote...

Suarez nae ndo kabsa..kila mpira Suarez anao ugusa ama kikaba anawekewa faul... Hii ilisababisha hata wachezaji kichangajikiwa na kupoteza focus ya mchezo.

Hapo ndipo walipo ona psg wamesha maliza mchezo....ndo barca dk.baac wameshinda..

Lakn ushaur Wangu....ucfkr barca hajaonewa... Nae alionewa na ndo Enrique mda mwing alikua anamgas mwamuz wa akiba.... Thatz football
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Mkuu psg na wao wameshika mpira Mara 3 ndan ya eneo la hatar
Kwani ile alio angushwa Di maria ndani ya 18 haikuwa penalt halali tena alibaki na kipa beki akatokea nyuma na kumuangusha lakini hamna kadi wala penalt je haikuwa Penalt halali ile?
 
Povu huyo refa kwani ni walaliga? Maelezo mengi pumba tupu. Haya nyie wenye marefa na ligi ngumu jana mmenywesha kumi
Kama Pumba tupu umeyasoma ya nini..means umekula pumba hivyo wewe ni Nguruwe kama sio mbwa!
 
Yaani bora hata arsenal aliepigwa 10 kuliko psg.
Umeona mtu wangu,kwa timu yenye wachezaji wenye hadhi km ya psg na tayari walisha tangulia 4-0 nahisi familia ya soka imepata mada kubwa sana ya kuzungumzia
 
Tena refa wa leo amejitahd sana kuwatoa mchezo barca....ilifkia hatua neymar anachewa physical contact mda wote...

Suarez nae ndo kabsa..kila mpira Suarez anao ugusa ama kikaba anawekewa faul... Hii ilisababisha hata wachezaji kichangajikiwa na kupoteza focus ya mchezo.

Hapo ndipo walipo ona psg wamesha maliza mchezo....ndo barca dk.baac wameshinda..

Lakn ushaur Wangu....ucfkr barca hajaonewa... Nae alionewa na ndo Enrique mda mwing alikua anamgas mwamuz wa akiba.... Thatz football
Bro wewe umeangalia mpira gani huo?
Screenshot_2017-03-09-02-14-13-1.png
 
PSG
Wamedhalilisha mpira wa miguu.
Labda kwa kuwa leo siku ya wanawake wakaamua wacheze kama wake zao ili kuwaenzi.
Am very frustrated.

Watakao kuja Congo, karibu Bukavu
 
Timu zote zikianza kununua marefa basi Soccer itakuwa kama Mieleka refa anapigwa kibao analala and then wachezaji wanaongezka hadi wanatia goli and then refa anamshwa na kupiga kipyenga akinyoosha mkono kati yaani goli safi
 
Refaree kumbe alilala Nyumbani kwa Messi siku moja kabla ya mechi Muhahahahaha
 
  • Thanks
Reactions: PNC
14887999431098.jpg

Deniz Aytekin RTRPIX
Muahahahaha ndani kavaa jezi ya Barca
 
PSG
Wamedhalilisha mpira wa miguu.
Labda kwa kuwa leo siku ya wanawake wakaamua wacheze kama wake zao ili kuwaenzi.
Am very frustrated.

Watakao kuja Congo, karibu Bukavu
Dah,ndo nimekumbuka leo,itakua PSG wamewasaidia wanawake katika......
 
Back
Top Bottom