Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Penalt ya neymar wala haina mjadala...labda ya Suarez.......iki angalia kwa makn Suarez alipgwa konga la shingo, na kwenye got Lake la kulia pia aligongwa japo hizo faul alizofanyiwa zilikua very technical faul...

Ukimchek yule bek baada ya kumuwekea konga Suarez alishtuka mapema akauonda mkono kumbe it was too late...maana the moment alivyoweka konga kwenye shingo ya Suarez,, Suarez akaanguka kibaya Zaid Suarez alikua mbele kwa hatua kadhaa..na n mtaalam wa kujidondosha

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Yes uko sawa ndo maana nkasema straika kama hao wanaojua kutumia trick hiyo ukiwa beki ni mjinga yaani utakuwa unasababisha penaty muda wote ni trick za kijinga mno yaani either ikubali iwe penaty but akikosea yeye lazima atapigwa kadi..ujanja ujanja ..kipind kile ile barca ya gardiola ilikua hicho ujanja ujanja mwing wakifika kwenye box ukijichanganya beki ni tuta..england bado cjaona sana hii maybe diego costa anajitahd kuimaster hii dirty trick
 
Wanaopinga ushindi wa Barcelona ni mashabiki wa real Madrid
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Watu wakununua game hawa
Utawaweza co
Kwa zle penalty za uongo
Yani hata mimi nisiye mfatiliaji wa mpira lakini Barcelona naijua ni timu nzuri.huwezi kuipa sifa ya kununua game
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Penalt ya neymar wala haina mjadala...labda ya Suarez.......iki angalia kwa makn Suarez alipgwa konga la shingo, na kwenye got Lake la kulia pia aligongwa japo hizo faul alizofanyiwa zilikua very technical faul...

Ukimchek yule bek baada ya kumuwekea konga Suarez alishtuka mapema akauonda mkono kumbe it was too late...maana the moment alivyoweka konga kwenye shingo ya Suarez,, Suarez akaanguka kibaya Zaid Suarez alikua mbele kwa hatua kadhaa..na n mtaalam wa kujidondosha

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
mkuu wanakuchosha bure, wako kwenye denial hao. Suarez alipigwa goti la kiuno, na Neymar ile beki baada ya kuanguka ilikuwa inacrawl kwenda kutenda dhambi. refa alijitahidi kubalance mchezo. Neymar na Surez wote wana kadi kwa kudive.
 
acha kulia lia wewe bus futa hayo magoli we unayosema sio ya halali, Mpira unachezwa ulaya refer kapimwa ya kuaminika na uongozi kaonekana ana faa, kachezesha game nyie mpo bongo mnalia lia tu chukua filimbi ukachezeshe wewe MKUU
Si unajua watu walikua wamebeti kua barca anatoka kwa hiyo hawaamini kilichotokea
 
EPL ya big team like Arsenal kufungwa goli 10?, any way ngoja niweke akiba ya maneno
Wewe hata hujui unachokiongea..


Hata hujanielewa nimemjibu nini huyo kulingana na swali lake..

Ume niquote tu.
 
Barca.Rmadrid.Bayern Munich..... Zinabebwa sana..ukweli mchungu
 
Serious siyo kila record ni ya kushangilia, kuna baadhi ya wanariadha wamewahi kuvunja record baada ya miaka kadhaa ilibainika walikuwa wakitumia dawa za kuongeza nguvu, hilo likapelekea kufutwa kwa record zao. Hata hii ya Barcelona time will tell ngoja tusubiri tu
Hakuna kitu kama hicho.we barca umewajua Jana?ingawa so Waziri sana kwa difence lkn records za karibuni zaonyesha barca walimpiga m2 goli 7-0 kabla ya kufungwa 4-0 na PSG,lakini kabla ya game hii ya Uefa ktk LA liga wamempiga Celts figo 5-0,kwahiyo ushindi huo kwa barca so kitu cha ajabu na mbaya kwa PSG waliamua kucheza defensive game....kwa style ile kwa barca utegemee nini?
Kumbuka wakati Wa Guardiola Real Madrid waliwahi pigwa 5-0 kwa kupaki basi.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Nakuheshimu sikutegemea kama ungejivunjia heshima yako kwa Game moja hii! Hata ungekaa kimya ungeonesha pia ushabiki wako!! UEFA inaendelea sio timu zote ni PSG na sio Refa huyu ana Kibali cha kuchezesha mechi zote za Barcelona!

Tanzania mtu akiwa mwanasiasa basi atafanya kila kitu kisiasa!!! Sawa mmeshinda kwa mujibu wa Refa wenu!! Ligi kuu Uingereza itabaki kuwa Ligi ngumu hasa ubora wa Marefarii wake!!!

Ushabiki ni utumwaa unaweza hata danganya kisa ushabiki unaweza hata kubadilisha mambo kisa ushabiki

Leo nimekuelewa wewe ni mtu wa aina Gani japo kwa kifupi
Shabiki wa Man Utd....wewe endelea na EPL yako, lakini Tambua Ukileta Timu yako yoyote huku UEFA ni kichapo tuuu.....Tumeanza na Arsenal sasa ni Zamu ya Man City na Bingwa wenu kilaza Leicester kuaga mashindano
 
Siwezi Kuonea Wivu timu ambayo hainiingizii hata 100 wala Hamsini mbovuu......ila ukweli utabaki hata wewe unajua Kuwa hakukuwa na uhalali kwa baadhi ya Magori ni ubovu wa refarii.....Hilo unalijua ila umefunikwa na Ushabiki unavowapendelea timu fulani kisaikolojia unaharibu mbinu na uwezo wa Timu nyingine na hio sio mara ya kwanza kwa Barcelona!!!! Sometime weka ushabiki pembeni na Facts zitumike
Naona Shabiki wa Man Utd Umeumia sana, na Mimi hii ndo raha yangu sasa
 
Kuwa na gori 4 sio tatizo lakini mwanzo mmeshawaharibu kisaikolojia na hiyo mmemtumia Refa kufanya hayooo tunajua hata marefa wana timu zao na hupanga matokeo nae anataka kuandika historia yake lakini sio sahihi kuonesha wazi wazi! Sidhani kama Suarezi kweli aliangushwaa hebu jaribu kuangalia Tena

Na ule mpira alio piga Di maria ukamgusa beki wenu ingekuwa upande wa PSG penalt ingewekwaa.....saikolojia ni kubwa kuliko hata nguvu za miguu....Ndio maana Nimesema UEFA inaendelea Tupo hapa mtakutana na Marefa wengine na Timu zingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wewe unaongea kwa mihemko kabisa, hebu angalia replay Youtube uone kama hata dimaria aliguswa basi.. Pole sana shabiki wa Man Utd
 
Back
Top Bottom