Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wewe unaongea kwa mihemko kabisa, hebu angalia replay Youtube uone kama hata dimaria aliguswa basi.. Pole sana shabiki wa Man Utd
Huo ndio ukwelii.....ww endelea kuwa na chuki na mashabiki wa Man U maana naona Kila anae pingana na ww n shabiki waa Man U endeleea UEFA SI inaendelea Utajua mm ni shabiki wa Timu ganii

Acha kukariri
 
Serious siyo kila record ni ya kushangilia, kuna baadhi ya wanariadha wamewahi kuvunja record baada ya miaka kadhaa ilibainika walikuwa wakitumia dawa za kuongeza nguvu, hilo likapelekea kufutwa kwa record zao. Hata hii ya Barcelona time will tell ngoja tusubiri tu
Naona unaota! Ukiamka utakuwa sawa[/I]
 
mkuu wanakuchosha bure, wako kwenye denial hao. Suarez alipigwa goti la kiuno, na Neymar ile beki baada ya kuanguka ilikuwa inacrawl kwenda kutenda dhambi. refa alijitahidi kubalance mchezo. Neymar na Surez wote wana kadi kwa kudive.
Kwel mkuu...naona naongea na watu wasio kuwa na idea ya mpira kabsaa na kibaya Zaid wamekaa kishabk
 
Kama wajua sheria za soka unawezaje kukataa kuwa hii sio penalty?
Sina bando la kujibu ila kila mtu aliona mpira kwa macho yake mawili wengine wakiwa na chogo hakuna haja ya kugeuka wachambuzi piga kazi
 
Watu wakununua game hawa
Utawaweza co
Kwa zle penalty za uongo
Unaijua ulaya wewe aununaiskia acha kufananisha na ndondo cup yenu ya voda comu kule hakuna mambo kama hayo
 
Mkuu unajishusha sana kama unaamini maoni ya Mhariri zaidi kwenye Mechi ambayo umeitizama mwenyewe... Zamani nilikuwa nasikiliza mpira radioni nilipokua kidogo nikaanza kwenda uwanjani na kiredio changu kidogo kusikiliza ni uongo mtupu yaani mtu anapiga mpira nje and then mtangazaji anakuambia kosa kosa kidogo sana yaani lilikuwa goli yaani hadi unazima kiredia...

Hiyo miaka tushapita mkuu live ndio kila kitu
Wale wachambuzi wamecheza soka la kulipwa, wanazijua sheria za soka, na saizi wamestaafu wanachambua soka, sasa si heri ni waamini wao kuliko wewe shabiki wa Man Utd
 
Hao hao Maregend ndio huchagua Wachezaji bora kwa Mapenzi so ni corruption association isiyoaminika. Yaani unakuta wanasema oh Real Madrid kachukua sana UEFA afungwe ili Athletico abebe kombe kha!
Tupe reference sio unaongea mashudu tu hapa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huo ndio ukwelii.....ww endelea kuwa na chuki na mashabiki wa Man U maana naona Kila anae pingana na ww n shabiki waa Man U endeleea UEFA SI inaendelea Utajua mm ni shabiki wa Timu ganii

Acha kukariri
Kwani Uongo, Mashabiki wa Man Utd wanaongoza kuichukia Barca kuliko hata wale wa Madrid, ingawaje Man Utd fans pia wanaishabikia Madrid kwasababu ya Christiano Ronaldo......Barca tunachukua TREBLE ya Tatu msimu huu
 
Serious siyo kila record ni ya kushangilia, kuna baadhi ya wanariadha wamewahi kuvunja record baada ya miaka kadhaa ilibainika walikuwa wakitumia dawa za kuongeza nguvu, hilo likapelekea kufutwa kwa record zao. Hata hii ya Barcelona time will tell ngoja tusubiri tu.

Naamini mko wengi sana mlioumia kwa hili lililofanywa na historia kuandikwa. Ni kawaida ya binadamu kuwa mara nyingi anayepata mafanikio makubwa huonewa gere na wengi kumwombea kila aina ya baya limkute, na mafanikio yao yamewafanya wawe na maadui wengi kama wewe. Lakini maisha yanaendelea na watu wanazidi kuweka historia zao. Barcelona, pamoja na kwamba siishabikii lakini ni timu yenye mafanikio, na sote tunatakiwa kuwapongeza kwa hiki walichokifanya. Mengine ya ushabiki wa ligi ya Uingereza na kuitetea kila siku kuwa ni bora sijui imekuwaje tuyaache, ukweli usemwe kuwa Barca wako vizuri. Usijeshangaa wakachukua kombe hili tena mwaka huu
 
Si kweli. Ni penati halali. Ujinga wa PSG ulikuwa ni kulinda muda wote.

Na wachambuzi Ulaya wamezungumza hilo. Kuwa huwezi kwenda Camp Nou ukajidai kulinda utafungwa tu. Njia nzuri kwao ilikuwa ni kushambulia. Na ninaamini wangeshambulia kama walivyofanya Paris wangeweza kushinda hii game. Lakini ujinga wao umewagharimu
 
Mkuu,kwani yule refarii ni Mhispania? Taratibu mkuu,acha wivu. EPL ni ligi ya rugby. Mmefungwa 10-2

Hahahahahaaa! I like that. Hivi EPL mara ya mwisho kuchukua champions league ilikuwa mwaka gani, if somene coul remind me.
 
Back
Top Bottom