Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahabaahahahaa safi sanaLeo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
View attachment 1558175View attachment 1558177
Mtaa unaoishi wewe ndio hamkuhamasishwa.Mim ni mtumishi wa umma naogopa kuweka wazi husia zangu ili nisifukuzwe kazi, nawakilisha malaki ya wafanyakazi!. Hakuna uamasishaji wowote ulifanywa na chama cha siasa wakati wa kuandikisha, ni matangazo tu ya tume ndio yalikuwa yanapita mtaani na si watu wote walitakiwa kujiandikusha bali ni wale tu ambao hawana vitambulisho vya kura na waliohama makazi.Kwahiyo kusema chama flan kiliitisha mkutano kuhamasisha watu wajiandikishe hiyo haikuwepo nchi nzima, usipotoshe.
Tuwekee picha au videoSijui unajaribu kumdandanya nani?, Na kuna maboya kama wewe watakuamini. TV zote zinaonyesha nyomi halafu unakuja na ngonjera zako za kuokoteza?.. Vitu vidogo Kama hivi ndo vinasababisha CHADEMA kionekane chama cha mafala.
Hao wanachama hewa ni mbinu ya kisaikolojia ya kuiba kura. Watu wanaweza kuwa wanachama na kura wasiwape ccm. Kama vile walivyofanya wajumbe tu. 😂Mtaa unaoishi wewe ndio hamkuhamasishwa.
Na itakua asilimia ngapi kwa data ulizonazo? Naongea ninachokijua sababu uhamasiswhwaji uliambatana na taarifa za miradi ya maendeleo pamoja na usajili wa wanachama wapya.
Ninavyoandika hapa kwamba wanachama hao wanachama million 15 ilikua kabla ya kuboreshwa daftari la wapiga kura, ila hadi sasaivi wanakadiriwa kuwa million19+
Fazil kadanganya, hali ya bariadi Leo ilikua njema sana kwa Magufuli na ChengeHahahabaahahahaa safi sana
Haya yako ni maneno tuu hayana uthibitisho. Tulia october 28 upate majibuHao wanachama hewa ni mbinu ya kisaikolojia ya kuiba kura. Watu wanaweza kuwa wanachama na kura wasiwape ccm. Kama vile walivyofanya wajumbe tu. 😂
Pia kama kura zikiibiwa mtasema hizo ni za wanachama wetu kumbe hewa 😂.
ukisikia wanakataa drones ujue kuna mengi!!Acha uongo, fuatilia mkutano live hapa
Ujionee wananchi walivyomiminika kwa Magufuli
Cc G Sam Froida MasterGamaliel Mshana Jr
Upuuzi mtupu mkutano umejaa sana watu danganya wengine sisi tupo field namheshimiwa! Kuanzia maganzo shinyanga, mwigumbi maswa bariad mjini hadi lamadi wananchi walikuwa wengi sana na wamesema hayupo wa kumpa kura zaidi ya jpmLeo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
View attachment 1558175View attachment 1558177
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
View attachment 1558175View attachment 1558177
Asante RWANDES mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥Upuuzi mtupu mkutano umejaa sana watu danganya wengine sisi tupo field namheshimiwa! Kuanzia maganzo shinyanga, mwigumbi maswa bariad mjini hadi lamadi wananchi walikuwa wengi sana na wamesema hayupo wa kumpa kura zaidi ya jpmView attachment 1558556View attachment 1558557View attachment 1558558
Acha kutanganya watu labda danganya wanasaccos kila kitu kinapatikana youtube pia channel za TV mbalimbali live!Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
View attachment 1558175View attachment 1558177
Mhenga usiku wa tarehe 28 Kuna ID zitapotea hapa usipate kuziona tena mileleKamanda tukutane october 28 turudi hapa usijifiche kamanda!
Mtajichekesha sana lakini dawa inawaingia sawa sawa wanasaccos.Hahahabaahahahaa safi sana
Ni tofauti sana kwa wapinzani ila kwa CCM yenye wanachama hai 15M na wapya zaidi ya 4M wanauhakika na nyomi yao.Lakini nyomi na uhalisia wa kura ni tofauti kabisa km wanabisha wamuulize LowasaView attachment 1558566
Mkuu hebu tusomee asilimia za ushindi toka field🤣🤣🤣🤣🤣Mtajichekesha sana lakini dawa inawaingia sasa wanaccos.
Kwa urais ni 98% wabunge 95%Mkuu hebu tusomee asilimia za ushindi toka field🤣🤣🤣🤣🤣
CCM baba lao👍
Hahaha kweli hawa ni pingapinga🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu mbona unatumia nguvu nyingi kuwaelewesha hawa pinga pinga?
Kiuhalisia upinzani wa hovyo huu hauwezi kuishinda ccm hata kwa dawa tena chini ya Jpm
Sjawahi kuwa mwana ccm ila hiki kichwa cha jpm nakipa salute zote