Uchaguzi 2020 Bariadi: Mkutano wa kampeni CCM jionee

Uchaguzi 2020 Bariadi: Mkutano wa kampeni CCM jionee

Mim ni mtumishi wa umma naogopa kuweka wazi husia zangu ili nisifukuzwe kazi, nawakilisha malaki ya wafanyakazi!. Hakuna uamasishaji wowote ulifanywa na chama cha siasa wakati wa kuandikisha, ni matangazo tu ya tume ndio yalikuwa yanapita mtaani na si watu wote walitakiwa kujiandikusha bali ni wale tu ambao hawana vitambulisho vya kura na waliohama makazi.Kwahiyo kusema chama flan kiliitisha mkutano kuhamasisha watu wajiandikishe hiyo haikuwepo nchi nzima, usipotoshe.
Mtaa unaoishi wewe ndio hamkuhamasishwa.
Na itakua asilimia ngapi kwa data ulizonazo? Naongea ninachokijua sababu uhamasiswhwaji uliambatana na taarifa za miradi ya maendeleo pamoja na usajili wa wanachama wapya.
Ninavyoandika hapa kwamba wanachama hao wanachama million 15 ilikua kabla ya kuboreshwa daftari la wapiga kura, ila hadi sasaivi wanakadiriwa kuwa million19+
 
Sijui unajaribu kumdandanya nani?, Na kuna maboya kama wewe watakuamini. TV zote zinaonyesha nyomi halafu unakuja na ngonjera zako za kuokoteza?.. Vitu vidogo Kama hivi ndo vinasababisha CHADEMA kionekane chama cha mafala.
Tuwekee picha au video
 
Mtaa unaoishi wewe ndio hamkuhamasishwa.
Na itakua asilimia ngapi kwa data ulizonazo? Naongea ninachokijua sababu uhamasiswhwaji uliambatana na taarifa za miradi ya maendeleo pamoja na usajili wa wanachama wapya.
Ninavyoandika hapa kwamba wanachama hao wanachama million 15 ilikua kabla ya kuboreshwa daftari la wapiga kura, ila hadi sasaivi wanakadiriwa kuwa million19+
Hao wanachama hewa ni mbinu ya kisaikolojia ya kuiba kura. Watu wanaweza kuwa wanachama na kura wasiwape ccm. Kama vile walivyofanya wajumbe tu. 😂
Pia kama kura zikiibiwa mtasema hizo ni za wanachama wetu kumbe hewa 😂.
 
Haya yako ni maneno tuu hayana uthibitisho. Tulia october 28 upate majibu
 
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
View attachment 1558175View attachment 1558177
Upuuzi mtupu mkutano umejaa sana watu danganya wengine sisi tupo field namheshimiwa! Kuanzia maganzo shinyanga, mwigumbi maswa bariad mjini hadi lamadi wananchi walikuwa wengi sana na wamesema hayupo wa kumpa kura zaidi ya jpm
IMG-20200904-WA0006.jpg
IMG_20200904_085212_0.jpg
IMG_20200904_085737_4.jpg
 
Jpm ndoo habari ya mjini sahivi wananchi hawataki kusikia porojo za mtu anayelalamika kuhusu uwanja wa chato na miundo mbinu iliyojengwa n.k
 
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
View attachment 1558175View attachment 1558177
Acha kutanganya watu labda danganya wanasaccos kila kitu kinapatikana youtube pia channel za TV mbalimbali live!
 
Mkuu mbona unatumia nguvu nyingi kuwaelewesha hawa pinga pinga?

Kiuhalisia upinzani wa hovyo huu hauwezi kuishinda ccm hata kwa dawa tena chini ya Jpm

Sjawahi kuwa mwana ccm ila hiki kichwa cha jpm nakipa salute zote
Hahaha kweli hawa ni pingapinga🤣🤣🤣🤣🤣
Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa ila rais John Pombe Magufuli nampa salute
Majaliwa tarehe 28 asubuhi na mapema nitampigia kura yangu.
 
Back
Top Bottom