Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.

Ushahidi huu hapa.
Kwenye Bold...;

And that is Positive How ?
 
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.

View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465
walikuwa wanagongea bapa la konyagi
 
Kwenye Bold...;

And that is Positive How ?
It is not , lakini linasisimua sana , sasa sisi kazi yetu ni kuripoti yaliyotokea , nyinyi vigogo pimeni kama ni mazuri au mabaya , ukishapata jibu jiulize kwanini
 
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.

Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.

Ushahidi huu hapa.

View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465

Hawa watoto wanajua ugumu wa maisha ndani ya familia zao iwe walimu, wakulima, wavuvi, wafanyabiashara, 'maofisa usafiri' n.k baba na mama wanalalamika sebuleni ugumu wa maisha ulioletwa na chama dola kongwe CCM. Watoto wameelewa ni CCM ndiyo sababu ya magumu yote haya huku viongozi wa CCM wakipita na magari ya kifahari na mishahara minono ya shs. 18,000,00 bima za Afya VIP, majumba na fanicha wanalipia wazazi wao wavuja jasho kupitia kodi zinazotumika vibaya na viongozi wa serikali ya CCM
 
Siasa bana,

Ingekuwa wamefanya CCM, mngesema watoto wamelazimishwa,

Mkifanya nyie, CDM inapendwa,

Anyway, in short, watoto wameonekana kufurahia zaidi kuonana na kamanda Mbowe kuliko wale waigizaji wa CCM!!

Ukisimamia HAKI, una kibali Toka juu,

Mbarikiwe🙏
Mkuu ni wewe kweli, mbona leo ume comment bila kuonyesha mahaba
 
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.

Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.

Ushahidi huu hapa.

View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465
Hahaha yaani wametafuta watoto toka moshi uchagani wakawasafirisha mpaka bariadi, ila hiki chama mfu hakika mungu anawaona. Mnakuwa waongo hivi. Halafu cheki watu wachacheee, angalieni nyomi ya cde CPA Makalla na cde Dr Nchimbi ni balaa
 
Siasa bana,

Ingekuwa wamefanya CCM, mngesema watoto wamelazimishwa,

Mkifanya nyie, CDM inapendwa,

Anyway, in short, watoto wameonekana kufurahia zaidi kuonana na kamanda Mbowe kuliko wale waigizaji wa CCM!!

Ukisimamia HAKI, una kibali Toka juu,

Mbarikiwe🙏
Hiyo ni ishara kwamba Mungu wa Mbinguni amebariki maandamano hayo

Yesu alisema " waacheni watoto Wadogo waje kwangu maana Watoto kama hawa Ufalme wa mbinguni ni Wao"

😀🌹🌹
 
Siasa bana,

Ingekuwa wamefanya CCM, mngesema watoto wamelazimishwa,

Mkifanya nyie, CDM inapendwa,

Anyway, in short, watoto wameonekana kufurahia zaidi kuonana na kamanda Mbowe kuliko wale waigizaji wa CCM!!

Ukisimamia HAKI, una kibali Toka juu,

Mbarikiwe🙏
Tofautisha kati ya watoto kumkimbilia Mbowe na kumpongeza na waalimu kulazimishwa kuandamanishwa na watoto.
 
It is not , lakini linasisimua sana , sasa sisi kazi yetu ni kuripoti yaliyotokea , nyinyi vigogo pimeni kama ni mazuri au mabaya , ukishapata jibu jiulize kwanini
Ni mbaya sana and which makes me ask... mkichukua nchi haya yataendelea ya watoto kuacha masomo labda kuja kuwashukuru ?

Binafsi nasema upuuzi hauna gamba wala gwanda popote pale ukitokea ni lazima tu-ukemee
 
Back
Top Bottom