Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

Ni mbaya sana and which makes me ask... mkichukua nchi haya yataendelea ya watoto kuacha masomo labda kuja kuwashukuru ?

Binafsi nasema upuuzi hauna gamba wala gwanda popote pale ukitokea ni lazima tu-ukemee
Usishambulie ripota wa Jf , mshukuru kwa kukuletea habari
 
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.

Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.

Ushahidi huu hapa.

View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465
Yaani chadema kuna kitu kama mtakifanyia kazi uchaguzi wa 2025 mnashinda asubuhi mbele ya chama cha matapeli
 
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.

Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.

Ushahidi huu hapa.

View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465
Unaweza dhani umefanya vizuri kumbe umeharibu ajira za watu hapo, hatujafikia democrasia ya hivyo bongo land.
 
Mwashambwa Bado yupo majarubani ngoja atoke huko na matope ataishia kusema picha ime editiwa
 
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.

Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.

Ushahidi huu hapa.

View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465
Laiti wangejua mbowe huwa anawaita sukuma gang wasingefanya huo ujinga
 
Siasa bana,

Ingekuwa wamefanya CCM, mngesema watoto wamelazimishwa,

Mkifanya nyie, CDM inapendwa,

Anyway, in short, watoto wameonekana kufurahia zaidi kuonana na kamanda Mbowe kuliko wale waigizaji wa CCM!!

Ukisimamia HAKI, una kibali Toka juu,

Mbarikiwe🙏
Sisiemu Huwa wanalazimisha watoto mpka wafanyakaI hasa walimu waandamane barabarani kuwapokea viongozi
 
Laiti wangejua mbowe huwa anawaita sukuma gang wasingefanya huo ujinga
Chadema imejaa Kanda ya Ziwa kwa enzi na enzi , ishakuwa na wabunge na madiwani kila mahali , kwahiyo hizo porojo zako zimezimwa kama mshumaa jangwani
 
Mbowe Form 6 kapata Div 0, hivyo yeye wanafunzi kuacha masomo anaona jambo zuri kabisa, Mkuu wa Shule hajui kazi yake, siasa za kipuuzi hizi za kuwatoa watoto darasani na kufuata ujinga, siasa za kutaka watoto wetu wafeli ni upumbavu
 
M/mkuu wa hiyo shule hana kaz🥸🥋
 
Mwalimu mkuu wa hiyo shule ameyakanyaga ajiandae kwa lolote
Enzi za Mwenda Zake labda...Mama Hana shida na mambo ya Kawaida haya.,...Enzi zile hata Walimu wote wangeshughulikiwa hapo kwamba wanaunga MKONO opposition....Mzee alikuwa Mwoga sana Kupingwa...Watu walikalishwa Road na jua nchi nzima kuzima maandamano ya Mtandaoni
 
Heshima ya Mbowe nchi hii ni kubwa kuliko rais. Sema rais ana dola, ukimuondolea dola anakuwa kajamba nani tu
 
Enzi za Mwenda Zake labda...Mama Hana shida na mambo ya Kawaida haya.,...Enzi zile hata Walimu wote wangeshughulikiwa hapo kwamba wanaunga MKONO opposition....Mzee alikuwa Mwoga sana Kupingwa...Watu walikalishwa Road na jua nchi nzima kuzima maandamano ya Mtandaoni
Una habari kama Magufuli aliwahi kuvuruga chuo fulani mpaka kikafungwa kwa sababu kiliruhusu Rais wa wanafunzi alikuwa Chadema?
 
Back
Top Bottom