Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

Siku sio nyingi nao Chadema watalalamika ety ccm wanavunja masomo ya wanafunzi ili washiriki kwenye mikutano yao 😂
 
Huwezi kukuta watoto kama hao wanamfurahia kiongozi yoyote wa ccm kama hivyo kwa sababu wanajua wao ndio chanzo cha matatizo yao ya kimaisha ikiwemo elimu duni, huduma mbovu za afya na ugumu wa maisha kwa ujumla.
 
Screenshot_2024-04-25-17-58-27-1.png
 
Chadema imejaa Kanda ya Ziwa kwa enzi na enzi , ishakuwa na wabunge na madiwani kila mahali , kwahiyo hizo porojo zako zimezimwa kama mshumaa jangwani
Watu wa kanda ya ziwa hawapigii chama wanapigia mtu pole dada hmna chenu
 
Watu wa kanda ya ziwa hawapigii chama wanapigia mtu pole dada hmna chenu
Wakati tunachaguliwa walikuwa wanatuchagua kwa ajili ipi ? na hao watu kama hawatokei kwenye vyama wanatokea wapi ?
 
Wakati tunachaguliwa walikuwa wanatuchagua kwa ajili ipi ? na hao watu kama hawatokei kwenye vyama wanatokea wapi ?
Udp ya cheyo unaijua imeshinda ubunge kuliko chadema huko kanda ya ziwa.
Tundulisu na dj wanamsifu hayati lowasa kawaletea wabunge wengi na kura nyingi za uraisi, mbona mnasifu lowasa badala ya kukisifu chama chenu mtu mliye dai fisadi papa
 
Katika maisha yangu nimepata kukutana na Mbowe mara kadhaa... Jamaa ni charismatic leader mbali na mapungufu aliyenayo
 
Ina
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.

Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.

Ushahidi huu hapa.

View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465View attachment 2973733
Inamaana na chadema nao siku izi wanaruhusu wanafunzi kuacha masomo na kujiingiza kwwnye mambo ya siasaa??
 
Udp ya cheyo unaijua imeshinda ubunge kuliko chadema huko kanda ya ziwa.
Tundulisu na dj wanamsifu hayati lowasa kawaletea wabunge wengi na kura nyingi za uraisi, mbona mnasifu lowasa badala ya kukisifu chama chenu mtu mliye dai fisadi papa
Wakati Waziri wa Mambo ya ndani Masha akiangushwa ulikuwa na umri gani ?
 
Back
Top Bottom