Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kule kwingine kwa kweli huwa wanalazimishwa.....utakuta watu wamechokaaaa!!I adore the radiant smiles of everyone around. Each person appears genuinely happy, their smiles emanating from deep within.
Ingekuwa kule kwingine, kila mtu kanuna.
Kwenye Bold...;Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.
Ushahidi huu hapa.
walikuwa wanagongea bapa la konyagiTulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.
Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.
Ushahidi huu hapa.
View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465
It is not , lakini linasisimua sana , sasa sisi kazi yetu ni kuripoti yaliyotokea , nyinyi vigogo pimeni kama ni mazuri au mabaya , ukishapata jibu jiulize kwaniniKwenye Bold...;
And that is Positive How ?
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.
Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.
Ushahidi huu hapa.
View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465
Mkuu ni wewe kweli, mbona leo ume comment bila kuonyesha mahabaSiasa bana,
Ingekuwa wamefanya CCM, mngesema watoto wamelazimishwa,
Mkifanya nyie, CDM inapendwa,
Anyway, in short, watoto wameonekana kufurahia zaidi kuonana na kamanda Mbowe kuliko wale waigizaji wa CCM!!
Ukisimamia HAKI, una kibali Toka juu,
Mbarikiwe🙏
Hahaha yaani wametafuta watoto toka moshi uchagani wakawasafirisha mpaka bariadi, ila hiki chama mfu hakika mungu anawaona. Mnakuwa waongo hivi. Halafu cheki watu wachacheee, angalieni nyomi ya cde CPA Makalla na cde Dr Nchimbi ni balaaTulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.
Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.
Ushahidi huu hapa.
View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465
CHADEMA ni manyumbu sana.mbona wanafunzi wakienda kwenye mikutano ya CCM wanasema CCM inajaza wanafunzi na kuvunja haki zao.Ngoja Lucas Mwashambwa aione hii
potelea nairobi, atawazuiaje?Mwalimu mkuu wa hiyo shule ameyakanyaga ajiandae kwa lolote
Hiyo ni ishara kwamba Mungu wa Mbinguni amebariki maandamano hayoSiasa bana,
Ingekuwa wamefanya CCM, mngesema watoto wamelazimishwa,
Mkifanya nyie, CDM inapendwa,
Anyway, in short, watoto wameonekana kufurahia zaidi kuonana na kamanda Mbowe kuliko wale waigizaji wa CCM!!
Ukisimamia HAKI, una kibali Toka juu,
Mbarikiwe🙏
Rabbon Hana chama Cha siasa.Mkuu ni wewe kweli, mbona leo ume comment bila kuonyesha mahaba
Tofautisha kati ya watoto kumkimbilia Mbowe na kumpongeza na waalimu kulazimishwa kuandamanishwa na watoto.Siasa bana,
Ingekuwa wamefanya CCM, mngesema watoto wamelazimishwa,
Mkifanya nyie, CDM inapendwa,
Anyway, in short, watoto wameonekana kufurahia zaidi kuonana na kamanda Mbowe kuliko wale waigizaji wa CCM!!
Ukisimamia HAKI, una kibali Toka juu,
Mbarikiwe🙏
Ni mbaya sana and which makes me ask... mkichukua nchi haya yataendelea ya watoto kuacha masomo labda kuja kuwashukuru ?It is not , lakini linasisimua sana , sasa sisi kazi yetu ni kuripoti yaliyotokea , nyinyi vigogo pimeni kama ni mazuri au mabaya , ukishapata jibu jiulize kwanini
Nilikuwa najua hii ni account nyingine ya MudawoteRabbon Hana chama Cha siasa.
Muda wote Huwa nasimama ilipo Kweli na HAKI.
Kwa Shithole country kama yenu, ana wakati mgumu.Mwalimu mkuu wa hiyo shule ameyakanyaga ajiandae kwa lolote