TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Naungana na hoja ya Matola hapo juu ni kweli kabisa hivi vitoto tunavilea sisi wenyewe mitaani tunashindwa kuwachukulia hatua stahiki tunabaki tu kusema fulani ni noma,fulani ukiingia anga zake anapita na kichwa chako,tunakuwa tunaishi hivyo miaka nenda rudi bila kuchukua hatua..Kama alikiwa ni noma kiasi cha kutisha mbona bodaboda wa eneo lingine mbali na nyumbani kwao wameweza kumtuliza!??,Jibu linakuja ni kweli kabisa tunaleana mahomeboy