Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bar mad=bar maid.Ajira za kuajiliwa za hovyo sana wakati mwingine. Serikali mishahara midogo sana.
Unaenda benki mara 1 umeshakatika kabla hata ya tarehe 30.
Moshi mjini kuna kijiwe kinaitwa 'Red Stone'.Kipo njia ya Arusha mkabala na ukumbi mmoja maarufu sana uitwao Kuringe social hall.
Mdada analipwa mshahara wake safi wa kawaida halafu kila units za vinywaji anazohudumia kuna commission yake. Nauli ya kwenda na kurudi home wanapewa na msosi wanapewa.
Walevi wakishalewa huwa wana kautaratibu ka kukeep chenchi sana na kusahau masalia ya pesa. Kwakuwa yeye yupo strategic unakuta hela anayokusanya kwa mwezi ni nyingi kuliko wewe mwajiriwa wa Halmashauri idara ya kilimo na uhandisi wako wa hovyo.
Ana gheto safi. Mtoto anaenda shule na anavaa na kula vizuri bila mawazo ya buku 7.
Mabar mad ambao wako strategic na wako vijiwe vizuri wanapiga sana hela. Siyo lazima awe malaya.
Fuatilia mabar mad mijini wanaishi maisha gani. Hamna ambaye ni fala.
We dizaini uutaishia kuajiriwa hadi kiama,Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Hapo anaongelewa mhudumu, unafikiri mwenye baa atakuwa na hali gani kifedha?Kama wanaishi vizuri mbona hakuna mabinti wa wenye mabaa wakifanya kazi ya barmaid?
Na ndo umasikini wako huuKumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Unazidi kunipanga Mkuu.. Wallah Utumishi ni utumwa mpya. Me ntaukacha tu sooonWe dizaini uutaishia kuajiriwa hadi kiama,
Me nimejiajili na Nna bima ya afya million na 5k per year,,,,Nna house 4 kodi zake kwa mwezi tu zinatosha kunilisha ht nikiumwa,,,,watoto wanapiga kitabu, ,,we endelea kuajiriwa kwaiyo laki sita kwa mwezi, ,maisha mazuri utayaona kwa wengine tu,,,
Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Pia anaweza shikwa kalioKumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Umesahau na pesa anayopata kwa kuuza mbunye!!Ajira za kuajiliwa za hovyo sana wakati mwingine. Serikali mishahara midogo sana.
Unaenda benki mara 1 umeshakatika kabla hata ya tarehe 30.
Moshi mjini kuna kijiwe kinaitwa 'Red Stone'.Kipo njia ya Arusha mkabala na ukumbi mmoja maarufu sana uitwao Kuringe social hall.
Mdada analipwa mshahara wake safi wa kawaida halafu kila units za vinywaji anazohudumia kuna commission yake. Nauli ya kwenda na kurudi home wanapewa na msosi wanapewa.
Walevi wakishalewa huwa wana kautaratibu ka kukeep chenchi sana na kusahau masalia ya pesa. Kwakuwa yeye yupo strategic unakuta hela anayokusanya kwa mwezi ni nyingi kuliko wewe mwajiriwa wa Halmashauri idara ya kilimo na uhandisi wako wa hovyo.
Ana gheto safi. Mtoto anaenda shule na anavaa na kula vizuri bila mawazo ya buku 7.
Mabar mad ambao wako strategic na wako vijiwe vizuri wanapiga sana hela. Siyo lazima awe malaya.
Fuatilia mabar mad mijini wanaishi maisha gani. Hamna ambaye ni fala.
baada ya kumla aliendelea kukwambia siri yakeAjira za kuajiliwa za hovyo sana wakati mwingine. Serikali mishahara midogo sana.