Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaWewe endelea kukopeshwa na kupewa Bima ya low class ambapo hata hospital wanaona mizigo kuwatibia
CV siyo ishu dem ana degree anaolewa na mwanaume std VII mfanyabiashara Account inasoma mil.100Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
sasa na wewe si ukawe barmaid?Isikuume sana,mimi namwongelea huyo Bar maid.
Nina uhakika Tanzania nzima hakuna bar maid mwenye Bima.Alafu siwazi mikopo mikopo!!
Kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake.
Well saidNawe acha kazi kawe Bar maid mbona ni rahisi sana!
Kila wakati kulia lia napo kunaondoa baraka,muda mwingine tushukuru tu na kumshtakia M/Mungu shida zetu
kaka niliwahi kumuliza konda analaza bei gani hapa dar akaniambia round 35000 to 45000 kwa siku ukizidisha mara 30 utapata jibu na pia angalia hapo anakuwa ameshakula na hahitaji usafiri.Zile mia tano tano wanazochukua mabar maid ni nyingi zidisha kwa wateja kumi tu utapata jibu.usidharau kazi ya mtu muhimu ni discline ya hela.Hakuna Zaidi ya kuuza K, hizo nyingine mbwembwe tu.
Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Security over freedom. ukielewa itapendeza.Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Ajira za kuajiliwa za hovyo sana wakati mwingine. Serikali mishahara midogo sana.
Unaenda benki mara 1 umeshakatika kabla hata ya tarehe 30.
Moshi mjini kuna kijiwe kinaitwa 'Red Stone'.Kipo njia ya Arusha mkabala na ukumbi mmoja maarufu sana uitwao Kuringe social hall.
Mdada analipwa mshahara wake safi wa kawaida halafu kila units za vinywaji anazohudumia kuna commission yake. Nauli ya kwenda na kurudi home wanapewa na msosi wanapewa.
Walevi wakishalewa huwa wana kautaratibu ka kukeep chenchi sana na kusahau masalia ya pesa. Kwakuwa yeye yupo strategic unakuta hela anayokusanya kwa mwezi ni nyingi kuliko wewe mwajiriwa wa Halmashauri idara ya kilimo na uhandisi wako wa hovyo.
Ana gheto safi. Mtoto anaenda shule na anavaa na kula vizuri bila mawazo ya buku 7.
Mabar mad ambao wako strategic na wako vijiwe vizuri wanapiga sana hela. Siyo lazima awe malaya.
Fuatilia mabar mad mijini wanaishi maisha gani. Hamna ambaye ni fala.
kumbe wafungua vizibo,vipozeo vya walevi.Ajira za kuajiliwa za hovyo sana wakati mwingine. Serikali mishahara midogo sana.
Unaenda benki mara 1 umeshakatika kabla hata ya tarehe 30.
Moshi mjini kuna kijiwe kinaitwa 'Red Stone'.Kipo njia ya Arusha mkabala na ukumbi mmoja maarufu sana uitwao Kuringe social hall.
Mdada analipwa mshahara wake safi wa kawaida halafu kila units za vinywaji anazohudumia kuna commission yake. Nauli ya kwenda na kurudi home wanapewa na msosi wanapewa.
Walevi wakishalewa huwa wana kautaratibu ka kukeep chenchi sana na kusahau masalia ya pesa. Kwakuwa yeye yupo strategic unakuta hela anayokusanya kwa mwezi ni nyingi kuliko wewe mwajiriwa wa Halmashauri idara ya kilimo na uhandisi wako wa hovyo.
Ana gheto safi. Mtoto anaenda shule na anavaa na kula vizuri bila mawazo ya buku 7.
Mabar mad ambao wako strategic na wako vijiwe vizuri wanapiga sana hela. Siyo lazima awe malaya.
Fuatilia mabar mad mijini wanaishi maisha gani. Hamna ambaye ni fala.
WOTE tukijiajiri nani atakuwa muajiriwa,,,we bakia huko huko chiefUnazidi kunipanga Mkuu.. Wallah Utumishi ni utumwa mpya. Me ntaukacha tu sooon
Watu wanaongeza sifuri, hakuna jipya. Mnatakiwa mjiongeze na Degree zenu.Ukitaka kujua vipato vya watu vitakuhangaisha mkuu mie nna mchepuko wangu una biashara juzi kaniambia anamiliki sio chini ya milion 50 ambazo mie kuzifikia naona kama ndoto, nlisomaga nae akaishia la saba mie nkapiga mpaka mlimani yaani natamani kukimbia kazi
Mimi Bar maid mzoefu!sasa na wewe si ukawe barmaid?
Post ya kimburula kuliko zote hapa JF, graduate una mawazo mafupi hivoAjira za kuajiliwa za hovyo sana wakati mwingine. Serikali mishahara midogo sana.
Unaenda benki mara 1 umeshakatika kabla hata ya tarehe 30.
Moshi mjini kuna kijiwe kinaitwa 'Red Stone'.Kipo njia ya Arusha mkabala na ukumbi mmoja maarufu sana uitwao Kuringe social hall.
Mdada analipwa mshahara wake safi wa kawaida halafu kila units za vinywaji anazohudumia kuna commission yake. Nauli ya kwenda na kurudi home wanapewa na msosi wanapewa.
Walevi wakishalewa huwa wana kautaratibu ka kukeep chenchi sana na kusahau masalia ya pesa. Kwakuwa yeye yupo strategic unakuta hela anayokusanya kwa mwezi ni nyingi kuliko wewe mwajiriwa wa Halmashauri idara ya kilimo na uhandisi wako wa hovyo.
Ana gheto safi. Mtoto anaenda shule na anavaa na kula vizuri bila mawazo ya buku 7.
Mabar mad ambao wako strategic na wako vijiwe vizuri wanapiga sana hela. Siyo lazima awe malaya.
Fuatilia mabar mad mijini wanaishi maisha gani. Hamna ambaye ni fala.
bac mkuu kuna umenikumbusha kitaa kwetu kuna mzee wa izo kazi...alikua fala tu....lakini kaz izo znamfanya kanunua mtaa mzimaJambazi anayetumia silaha
akikusimulia wa kwake utajiona fala mara mbili.