Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Masikini atabaki kuwa masikini sababu ya mawazo yake ya kimasikini.