ginnery
JF-Expert Member
- Nov 9, 2016
- 200
- 145
Huna akili wwe unafananisha mtu aliesoma na asiesoma huo ni utaahila unaponda hadi uhandisi wwe una elimu gan? usidanganywe na nadharia angalia vitendo amesahau kukwambia anauza k na kuibia watu wakilewa hayo ni maisha ssa? ana likizo huyo akiumwa pesa analipwa na nani, matibabu? acha kaz na wwe ukawe baamedi nyie ndio wale akili zipo makalioni!