likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
SASA SI UKAFANYE HUO UBAR MAID
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu waliosoma entrepreneur hawatakuelewa kutokana na sababu hizi,be risk takerKumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
HahahahahUkitaka kujua vipato vya watu vitakuhangaisha mkuu mie nna mchepuko wangu una biashara juzi kaniambia anamiliki sio chini ya milion 50 ambazo mie kuzifikia naona kama ndoto, nlisomaga nae akaishia la saba mie nkapiga mpaka mlimani yaani natamani kukimbia kazi
Hatuwezi kufanana.Watu waliosoma entrepreneur hawatakuelewa kutokana na sababu hizi,be risk taker
Ajira za kuajiliwa za hovyo sana wakati mwingine. Serikali mishahara midogo sana.
Unaenda benki mara 1 umeshakatika kabla hata ya tarehe 30.
Moshi mjini kuna kijiwe kinaitwa 'Red Stone'.Kipo njia ya Arusha mkabala na ukumbi mmoja maarufu sana uitwao Kuringe social hall.
Mdada analipwa mshahara wake safi wa kawaida halafu kila units za vinywaji anazohudumia kuna commission yake. Nauli ya kwenda na kurudi home wanapewa na msosi wanapewa.
Walevi wakishalewa huwa wana kautaratibu ka kukeep chenchi sana na kusahau masalia ya pesa. Kwakuwa yeye yupo strategic unakuta hela anayokusanya kwa mwezi ni nyingi kuliko wewe mwajiriwa wa Halmashauri idara ya kilimo na uhandisi wako wa hovyo.
Ana gheto safi. Mtoto anaenda shule na anavaa na kula vizuri bila mawazo ya buku 7.
Mabar mad ambao wako strategic na wako vijiwe vizuri wanapiga sana hela. Siyo lazima awe malaya.
Fuatilia mabar mad mijini wanaishi maisha gani. Hamna ambaye ni fala.
Point 1. Haina mantiki...kama ana asset anbazo anaweza tumia kama collateral? Bado atakua hakopesheki?Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Mengine umekoseaKumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Haya uliyoyataja ndio yafanyao wafanyakazi wengi kufa masikin. Wakiwa na nahivyo akili zinagandaKumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
kwa kweli pole yake!!Pole sana mkuu
Okkwa kweli pole yake!!