Barmaid amenisimulia 'take home' yake kwa mwezi na maisha anayoishi mpaka nimejiona fala na degree yangu Halmashauri

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nicheke mie, ukiona msomi anafika mahali anajidharau kwa barmaid basi shule ulienda kufuata majengo na madaftari... Sio kila aliyesoma ni msomi... Elimu yako haijakukomboa kifikra mkuu (samahan)
 
Bar mad=bar maid.
 
Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
We dizaini uutaishia kuajiriwa hadi kiama,
Me nimejiajili na Nna bima ya afya million na 5k per year,,,,Nna house 4 kodi zake kwa mwezi tu zinatosha kunilisha ht nikiumwa,,,,watoto wanapiga kitabu, ,,we endelea kuajiriwa kwaiyo laki sita kwa mwezi, ,maisha mazuri utayaona kwa wengine tu,,,
 
Unazidi kunipanga Mkuu.. Wallah Utumishi ni utumwa mpya. Me ntaukacha tu sooon
 
Kwaiyo unataka kua bar maid?
Acha kazi ukajaribu uone km rahisi......
 
Umesahau na pesa anayopata kwa kuuza mbunye!!
 
baada ya kumla aliendelea kukwambia siri yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…