Barmaid amenisimulia 'take home' yake kwa mwezi na maisha anayoishi mpaka nimejiona fala na degree yangu Halmashauri

Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Watu waliosoma entrepreneur hawatakuelewa kutokana na sababu hizi,be risk taker
 
Hahahahah
 

Acha uvivu wa kufikiri
Wanauza k hizo zingine mbwembwe tu anakushika masikio
 
We endelea kufuatilia ya wenzio mpk yako yakushinde...
 
Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Point 1. Haina mantiki...kama ana asset anbazo anaweza tumia kama collateral? Bado atakua hakopesheki?
Point 2. Bima za afya zipo za had elfu 50 kwa mwaka
Point 3. CV haikufikish popote
 
Kuwa na degree haku determine kiwango cha pesa ambayo utai make katika maisha yako.
Achieving financially had nothing to do with what you from schools.Fungua bongo mkuu
 
Stori tu hizo, mimi kuna mjasiria mali wabkachori na line za simu pamoja na mama lishe, aliniambia kwa siku anapata sh 300,000.basi ikaja tokea ana saka nyumba nikampa namba ya dalali,
Si kuililia 10,000 kwani dalali alimpeleka nyumba ambazo hajazipenda,
 
Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Haya uliyoyataja ndio yafanyao wafanyakazi wengi kufa masikin. Wakiwa na nahivyo akili zinaganda
 
Ati nan?
We unaongea nn?
Keep change usawa huu!!!!
Hapo ukiona manyoya jua kaliwa.
Yaani akikuambia ame keep change ya mtu jiongeze acha utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…