Hiyo inaitwa siku ya nyani kufa kila tawi la mti analorukia analodaka anateleza anadondoka chiniAcacia imekufa,ubunge nimeukosa,Miga hakuna aliepelekwa dah...kweli life is not fair!!
Siwezi kuamini jinsi Tundu Lissu anavyofura maana kaangukia pua. Wapi Salary Slip Quinine Erythrocyte na vibaraka wenzao akina Sky Eclat nkHapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeee
Akina nani wa humu.. furahieni basi 😀
Alikuwa kibaraka wao! Mpe poleLissu naye ni binadamu, hivo kukosea ni Kawaida
Ameweka tayari ila inahitaji siku tatu kusoma ukamalizaHaya ngoja tusubiri Pascal Mayalla mana ndo uzi wake unakuaga na nyama ya kutosha
maswali mazuriMkuu Pascal Mayalla, naomba nikuulize maswali kadhaa ya ufahamu. Mosi, Serikali ya Tanzania inamdai nani kati ya Barrick na Acacia? Kama ni Acacia, huoni kuwa kuondoka kwa Acacia ni kufifia kwa deni letu? Will Barrick take over all rights, obligations and liabilities of Acacia or they just buy it? Acacia si mwanahisa wa Barrick? Tafadhali fikiri na unipatie majibu ya maswali hayo
Jambo kubwa ni kuwa Acacia imekufa, swali lako linakuja baadaye. Usisahau Tanzania ilikuwa inafanya mazungumzo na Barrick na Barrick ndiyo walikubali kutoa kishika uchumbaMkuu Pascal Mayalla, naomba nikuulize maswali kadhaa ya ufahamu. Mosi, Serikali ya Tanzania inamdai nani kati ya Barrick na Acacia? Kama ni Acacia, huoni kuwa kuondoka kwa Acacia ni kufifia kwa deni letu? Will Barrick take over all rights, obligations and liabilities of Acacia or they just buy it? Acacia si mwanahisa wa Barrick? Tafadhali fikiri na unipatie majibu ya maswali hayo
Nyie wajinga wa kweli!!Kwahiyo huo ndio ushindi au kushindwa!!Siwezi kuamini jinsi Tundu Lissu anavyofura maana kaangukia pua. Wapi Salary Slip Quinine Erythrocyte na vibaraka wenzao akina Sky Eclat nk
Soko la hisa linamtambua vizuri hasa acha uongo .Nenda soko la hisa umwangalie Acacia yupo akiuza hisa kule solo linajua,TRA wanajua unaongea usichojua wewe Ndie mjingaa
umedanganyika kijinga sana !Siwezi kuamini jinsi Tundu Lissu anavyofura maana kaangukia pua. Wapi Salary Slip Quinine Erythrocyte na vibaraka wenzao akina Sky Eclat nk
Umeandika nini?Hawa wana JF. Leo ndo ilikuwa ni siku amabyo Acacia walikubadikiana na Barrick juu ya offer waliotoa either kukubali au kukataa. Hatimaye leo Acacia wamekubali kununuliwa na Acacia
Safii mkuu naona wewe la kina Nape halikuhusu umejikita kwenye kututaarifu hili la msingi, kama itakua hivyo Basi mororo.Wanabodi,
Huu mtanange wa Acacia kununuliwa na Barrick, hatimaye umefika mwisho leo, kwa Barrick kutoa tangazo la kuinunua Acacia, na Acacia kutoa tango la kukubali kununuliwa na Barrick.
Tangazo la Barrick la Kifo cha Acacia ni Hili
PRESS RELEASES
Recommended Final Offer For Acacia Mining Plc By Barrick Gold Corporation – July 19, 2019
Tangazo la Acacia kukubali kununuliwa na Barrick ni hili
Hii maana yake ni
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
- Sasa mgogoro wa Acacia na serikali yetu, umemalizika rasmi kwa sababu sasa Acacia doesnt exist anymore.
- Migodi yote mitatu iliyokuwa chini ya Acacia, sasa itakuwa chini ya Barrick
- Yale makubaliano ya serikali yetu sasa yatatekelezwa.
- Kwa kuanzia tutalipwa dola milioni 300 zilizokuwa ni kishika uchumba, lakini sasa sio kishika uchumba tena bali ni kifuta machozi cha kusamehe lile deni kubwa la kodi la dola bilioni 190.
- Barrick ataunda kampuni mpya ya ubia na Tanzania kuchukuwa shughuli za Acacia
- Kwenye hiyo kampuni mpya, serikali ya Tanzania itakuwa na shares asilimia 16%.
- Bodi ya hiyo kampuni mpya itakuwa na Watanzania.
- Makao Makuu yatakuwa Tanzania
- Menejiment itakuwa na Watanzania.
- Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, yaani 50/50.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
Barrick and Acacia Reach Buyout Deal, Ending Long Standoff ...Source ya habari tafadhali?
Anajifanya hana habari,yuko busy na mchezo wa Barrick na Accacia!!Safii mkuu naona wewe la kina Nape halikuhusu umejikita kwenye kututaarifu hili la msingi, kama itakua hivyo Basi mororo.
Kikubwa TL ameonekana anavyopotosha ati MIGANyie wajinga wa kweli!!Kwahiyo huo ndio ushindi au kushindwa!!
Hao wote ni wanufaika wa madini yetu kupitia majina tofauti tofauti ila wajinga hamuelewi.Subiri hivyo vihela kiduchu mtakachopewa na yale makontena myaachie.
Wajinga ndio waliwao.
We zero kabisa!!Kikubwa sio matrilioni tuliyokuwa tunadai bali ni angalizo la Lissu la kuhusu kushitakiwa!!!Kikubwa TL ameonekana anavyopotosha ati MIGA