Barua kwako Rais Samia Suluhu Hassan

Barua kwako Rais Samia Suluhu Hassan

Ni chatto gang wanatengeneza propaganda ya kumchafua, walianza na uzanzibari ikashindikana sahivi wameibuka na udini hii nayo ikishindikana watakuja na propaganda nyingine ili mradi wamachafue mama aonekane hafai
 
Udini mtupu atakuja jamaa yake mwingine ku support anaitwa Kahtan na dada yao faiza
Kwanini mnahofu sana shida ni ipi hapo? Kosoa kwa hizo hoja zake labda unaweza kuzipa namba au herufi yaani ukamjibu moja baada ya nyingine.

Halafu acha uoga hao jamaa ni wakweli na wawazi. Hebu saidia jukwaa ' udini mtupu wake ni upi katika aliyoyaandika?
 
That's a nice shot
Naunga mkono hoja. Kipindi cha Magufuli hakuba-balance kwa mfano baraza la mawaziri upande wa dini. Angekuwa ni rais muislam amefanya hivyo nchi ingewaka moto. Pamoja na kusema haya mimi siyo muumini wa kuangalia majina ya wateuliwa kwa muktadha wa dini zao hata siku moja. Huu ni utumwa ambao hauna faida yoyote.

Hata hili la kusema ku-balance wateuliwa kulingana na dini siafiki. Rais mzuri ni yule anayeteua watu wenye sifa bila kuangalia dini zao hata wakiwa wa dini moja. BTW Tanzania waumini siyo wakristo na waislam pekee.

Na zaidi sijawahi kufaidika hata siku moja kwa sababu waziri fulani ni wa dini yangu au rais fulani wa wa dini yangu. Hizi ni sumu tulizolishwa na hazina faida yoyote bali huleta mifarakano.

Mama Samia ajisikie huru kuteua anavyopenda na asiangalian mambo ya ku-balance dini. Kama kuna watakaopiga kelele (hawakosekani) waache wapige. Kwa hili anaweza kabisa kuiga mfano wa Magufuli wa kuteua bila kuangalia dini ya mtu.
 
Madam president, kuwa huru kumchagua team yako, hata kama wapo waislam wengi ambao unaona wako smart na competent kufanya nao kazi, usiache kuwapa nafas eti kwa kuhofia kuwa watapiga kelele za udini, hawa hawakuanza leo na hawatokuja kumaliza leo, ni muda SASA umefika kujifunza kuish nao kama walivyo na hiyo kasumba yao.
WEWE NDIO MDINI NAMBA MOJA
 
Wako wengi, wengine ni Ritz & THE BOSS

Raisi akiwa ni mwislamu huibuka (hufufuka) na kuwatukana wakristo, maaskofu

Mbona unakuja na personal attacks??

Tunataka majibu mtupatie,why RAIS akiwa Muislam na kufanya teuzi za watu mkiona majina ya waislam mnalalamika kuwa ni udini na akiwa RAIS mkristo huwa hamtoi comment yoyote??
 
WEWE NDIO MDINI NAMBA MOJA

I thought ungesimama kujibu au kuattack hoja yangu na siyo kuni attack mtoa hoja,kuna maswali ambayo mnatakiwa kujibu,kama hatupo sahihi tuambie hatupo sahihi KWA namna gan
 
Ni chatto gang wanatengeneza propaganda ya kumchafua, walianza na uzanzibari ikashindikana sahivi wameibuka na udini hii nayo ikishindikana watakuja na propaganda nyingine ili mradi wamachafue mama aonekane hafai

Haitasaidia kama Taifa, TANZANIA ni taifa letu sote,hakuna first class citizen na third class citizen,chuki na vijicho havifai
 
I thought ungesimama kujibu au kuattack hoja yangu na siyo kuni attack mtoa hoja,kuna maswali ambayo mnatakiwa kujibu,kama hatupo sahihi tuambie hatupo sahihi KWA namna gan
Hupo sahihi mkuu! kwa sababu;
ww umejuaje hao wanao lalamika ni Wakristo au waisilamu?[emoji101]
 
Thanks,jibu zuri Mkuu.
The big show usingeanzisha uzi wenye maudhui haya ningeshangaa sana. Bado kuna yule bibi aitwaye Faiza fox naye lazima aanzishe wa hivi. Mimi ni mkristo, ila alichokuwa anafanya yule muovu jiwe cha kupendelea wakristo hasa wa kanda ya ziwa, kilikuwa wazi mno. Hata wakristo hali ile waliona, na kwenye huu uzi hawana nguvu ya kubisha ukweli ule. Jiwe alikuwa ni chukizo mbele ya Mungu.
 
Naunga mkono hoja. Kipindi cha Magufuli hakuba-balance kwa mfano baraza la mawaziri upande wa dini. Angekuwa ni rais muislam amefanya hivyo nchi ingewaka moto. Pamoja na kusema haya mimi siyo muumini wa kuangalia majina ya wateuliwa kwa muktadha wa dini zao hata siku moja...
Katika kitu Hayati Magufuli alifanikiwa sana ni kuua hisia za udini kipindi chake na kuwaleta pamoja waislamu na wakrisitu mufti/masheikh na mapadre wachungaji na maaskofu walikula pamoja na kujenga hoja zao pamoja bila kuangalia udini.

Niliona hata kipindi cha kampeni za Chadema sheikh Ponda na Mwamakula wako pamoja.juzi kwenye kongamano tumeona viongozi wote wa dini ya kikristu na kiislam wakiwa pamoja wakitoa mada.

Hali hii ikiendelea itafurahisha sana na kuleta utulivu stahiki kitaifa. Naamini na Mama atafuata nyayo hizo kwa vile ana uwezo mkubwa wa kiuongozi kutokana na utulivu alionao. Kwa hili atakumbukwa nalo.
 
Mkuu, Big show umeongea point, big up. Hawa viumbe siku mbilli zizopita kama ulivyoelezea, Mh Raisi ameteuwa wakristo wa4 kati yao hakuna muislamu hata mmoja alakini waislamu hatulalamiki na wao huwaoni wakijitokeza mitandaoni.

Naamini mpaka sasa wakristo ni wengi sana kuliko waislamu kama sio 80%, ebu fanya research uone, pamoja na yote hayo lakini bado hawaridhiki, wakiona mama anateuwa muislamu mmoja ama wawili kati ya wa4 ama wa5 utasikia UDINI UDINI, yani hata 50% still imekua shida kwao, so wanataka wao tu!!!!! Hatari sana, tunapigwa vita every where, na Qur'an haijaacha kitu.
 
Back
Top Bottom