THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #41
The big show usingeanzisha uzi wenye maudhui haya ningeshangaa sana. Bado kuna yule bibi aitwaye Faiza fox naye lazima aanzishe wa hivi. Mimi ni mkristo, ila alichokuwa anafanya yule muovu jiwe cha kupendelea wakristo hasa wa kanda ya ziwa, kilikuwa wazi mno. Hata wakristo hali ile waliona, na kwenye huu uzi hawana nguvu ya kubisha ukweli ule. Jiwe alikuwa ni chukizo mbele ya Mungu.
Mkuu tindo,nakushuuru Sana.
Tupo pomoja.