Barua kwako Rais Samia Suluhu Hassan

Barua kwako Rais Samia Suluhu Hassan

Madam President,naomba nikusalimie kwa salam ambayo umeipendelea Sana wewe mwenyewe kuwa NAKUSALIM KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,NA KAZ IENDELEE.

First and foremost,naomba nichukue nafas hii kukupa pole zangu nyingi sana KWA kifo cha aliekuwa RAIS wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Hayati John Joseph Magufuli, pole Sana Madam President, hakika hayakuwa haya maisha ya dunian, ila ni kitu Cha kupita tuh, na mbora miongon mwetu kwenye macho ya Mwenyezmungu ni yule ambae ni mchamungu.

Nakupa pole na kukuombea Sana,kwani umepokea kijiti Cha uongoz katika kipindi kigumu Sana, ambacho Taifa lilikuwa kwenye mtanziko, na mgawanyiko mkubwa Sana ambao kila mwananchi mwenye uelewa amekuwa anauona, siyo wafanyabiashara, wafanyakaz, wakulima na hata wajasariamali wakubwa na wadogo,bila kusahau wanasiasa na vyombo vya habari.

Pamoja na changamoto zilizopo mbele yako Wananchi wenye nia njema na Taifa hili tupo pamoja nawewe na siku zote tutakuombea KWA Mola akusimamie katika shughuli zako za kuliongoza Taifa.

Leo,nitaenda kwenye kipengele nyeti Sana,ambacho kinakuhusu wewe kuunda serikali yako madam president.

Nakupa pole Sana,katika mtihan mkubwa ambao utakutana nao ni jicho la waz waz la kuangaliwa KWA UDINI katika uteuzi wako,mama hii ni cancer ambayo sidhan kama utafanikiwa kuipata tiba yake zaid zaid ya kupiga moyo konde,kusimama kwenye haki,usawa na kuangalia weledi wa nani unamuhitaj katika kujenga serikali yako.

Kipindi ambacho Mh Jakaya Kikwete akiwa MADARAKANI,pamoja na kwamba kwenye serikali yake alikuwa fair kwenye teuzi zake na kuunda serikali yake,hakuachwa salama kuandamwa KWA waraka mbali mbali kumtuhum kuwa amekuwa akifanya teuzi zake KWA upendeleo wa kiiman,pamoja na ukweli kwamba katika teuzi hizo nafas nyingi alizitoa KWA haki na kuwapa nafasi nyingi ndug zetu hawa hawa christians bado ilionekana kuwa ana elements za udini.

Hali kama hiyo ya malalamiko hatukuiona Kabisa kutoka kwao katika utawala wa mkapa wala Magufuli pamoja na kwamba ukweli upo waz kuwa walipewa Sana wao nafas,hukuwahi kuwaskia waislam wakilalamika kuhusu teuzi hizo,na hata pale inapotokea baadhi wakihoji majibu yanayokuja ni kwamba waislam mtulie na hamna elimu,hiyo ni kasumba ambayo imejengeka kwa muda mrefu Sana, na haijengi kama Taifa.

Last week, ulifanya uteuzi ambao katika uteuzi huo yalionekana majina ya waislam kama wanne katika watu nane nadhan uliowateua ikazuka taharuki kwenye mitandao ya jamii, instagram, Twitter na hata huku JamiiForum kuwa eti awamu hii wavaa makubazi na barakashia ni awam yao, maneno ya chuki na kuudhi kabisa, na unaweza dhan huyo anaetoa mada kama hizo ni minority lakin amin kwamba anawakilisha views za wengi Sana ambao hawana tuh ujasir wa kusimama na kuongea chuki kama hizo.

Unafanya Tena uteuzi juz hapa,katika teuzi hizo hakuna jina hata moja la Muislam,wao wote wapo kimya Na hakuna taharuki yoyote iliyozuka na hujaskia malalamiko yoyote hata kutoka kwa waislam, siyo kama waislam hatuoni hilo,tunaona ila tunaingiwa na hali ya iman na kuchukulia kuwa kasumba ambayo hata tufanye nini hawa ndugu zetu hawawez kuiondoa fikran mwao,nadhan ni kasumba ambayo imegongwa muhuri ndani ya mioyo yao na wao nahis wanarithisha kizaz baada ya kizaz, it's sad.

Katika kukupa pole juu ya hilo rai yetu ni kukuomba,kwanza Simama kwenye haki,usiangalie udini,usiangalie ukanda wala ukabila,

Mkristo akiwa na qualifications na ukaridhika nae mpe nafas kwani huyo ni mtanzania, Muislam akiwa na qualifications na ukaridhika nae mpe nafas kwani huyo ni mtanzania pia.

Pamoja na kwamba ndan ya hii serikali wamejaa wao ila wakionekana waislam kadhaa tuh sehemu flan utaskia taasisi flan kuna udini, neno hilo udini limewekwa hapo Ili kukandamiza haki za watanzania hawa ambao ni Waislam wasionekane kwa namna yeyote katika hizo positions za uteuzi na utumishi hususan katika sekta ya umma.

Madam president, kuwa huru kumchagua team yako, hata kama wapo waislam wengi ambao unaona wako smart na competent kufanya nao kazi, usiache kuwapa nafas eti kwa kuhofia kuwa watapiga kelele za udini, hawa hawakuanza leo na hawatokuja kumaliza leo, ni muda SASA umefika kujifunza kuish nao kama walivyo na hiyo kasumba yao.

VYOVYOTE VILE IWAVYO MADAM PRESIDENT, WE SHALL STAND BEHIND YOU, KWA HILA NA CHUKI WATAZAOZIANZISHA KATIKA KUKUONDOA KWENYE MSTARI WA WEWE KUTENDA HAKI NA KUONGOZA TAIFA HILI.

RAMADHAAN KAREEM MADAM PRESIDENT.
Ukifuata ya mitandaoni ya watumia fake ID's utapasuka kichwa ,hawana jema hao,kinachotakiwa Rais afanye kazi yake kwa haki na weledi bila kuangalia anamchukiza au kumfurahisha yoyote yule
 
Kwani aliye mshika nani?
Mtaje ili wote tumzomee!
Ima una agenda yako mfukoni??

Mkuu Mgen,

Last week jukwaa lilichafuka hili KWA tuhuma chafu baada ya mama kuwateua waislam kama wanne hivi Kati ya watu nane,

Huo uz mods waliufuta,SASA juz hapa kawateua nyinyi pekee na hatuwaskii wakizozaa,na sisi tunawaulizaa je SASA mumefurahiiii wenyewe hapo eeeeh??!!..

Kana kwamba hao waislam wanaoteuliwa siyo watanzania??achen roho mbaya tujenge nchii, chuki siyo mpangoo
 
Mkuu ngeni,

I understand your point,very well...

Ilienda uarabun wapo watu wanaitwa Abdallah,mustafa,ally,mohamed na kadhalika ila ni christians,na ukitenda ulaya kuna watu wanaitwa Erick, michael,paul labile pogba ila ni waislam,point yako nakuelewa.

Ninachozungumza hapa Mimi ni kuhusu mihemko inayotokea hapa kwetu Tanzania,hususan kila akiwapo RAIS musilam MADARAKANI na anapoteua watu ambao Wana majina yanayoshahabiana na uarabu na uislam anaitwa mdini,that's my concern.

Either,swali hilo unaweza wauliza hawa jamaa zako,kwann wamuite RAIS mdini KWA kuteua watu wenye majina ya kiislam,wamejuaje kuwa RAIS kawateua hao KWA kuangalia dini yao??

Nadhan umenielewa,au kama unataka malumbano yako ya dini,twende kwenye jukwaa husika, shukran
Mahaba yamekupofua hadi huoni LA dhara wala maskhara!
ww umejuaje hao wanao hemka ni Wakristo??
weka ushahidi!
Isije ikawa ni power stragglers wanatumia mwavuli wa deen!
 
Kuna mijitu mingine mipumbavu sana ukiwemo wewe.Wengine tunasikiaga na kuona rais amemteua mtu fulani lakini hatuna muda wa kufuatilia majina na dini.Hivyo vitu vinatusaidia nini katika kuleta maendeleo.Wewe mwenyewe ni mdini nambari moja.Basi wawe wanachagulia watu wasio wa imani yoyote ili mfunge hiyo midomo yenu mikubwa
 
Aksante KWA ukumbusho,

Mfano,KWA sasa kwenye baraka la mawazir,kuna mawazir 24 waislam wako wanne tuh na pia katika manaibu wazir wapo 26 na waislam wapo 10 tuh,lakin bado wanalalamika kwamba kuna udini,na hapo hujaenda KWA makatibu na manaibu katibu wakuu,hujaenda kwenye wakurugenz wa taasisi mbali mbali,hujaenda KWA wakuu wa mikoa na wilaya,ndug zetu wanavuka mipaka Sana,na sisi tumejifunza Sana kuwavumilia
Hebu acha ujinga bro!
Umejuaje hawa ni Waislamu na hawa ni Wakristo!?
 
Mkuu naungana na wewe kwa 100%.

Pia napenda kuongezea, sio tu wafuasi wa Christians ndio watalalamika na kupiga kelele za UDINi kwenye TEUZI. La hasha, ategemee pia waraka wa viongozi wao na waraka wa aina hiyo utapata 'airtime' kubwa ili kufanikisha ajenda yao.

Mwisho; asimame kwenye khaki, na asijaribu hata siku moja kuwajibu au kutumia Taasisi/Baraza la Dini kuwajibu ikitokea siku amealikwa na wala asimuagize Waziri Mkuu kutumia misikiti kujibu kitu chochote kinachohusiana na UDINI.
Kama Rais atatenda haki hana haja ya kujibu lalamiko lolote! Kwa vyovyote vile hataweza kufurahisha kila mtu!
 
Mkuu Mgen,

Last week jukwaa lilichafuka hili KWA tuhuma chafu baada ya mama kuwateua waislam kama wanne hivi Kati ya watu nane,

Huo uz mods waliufuta,SASA juz hapa kawateua nyinyi pekee na hatuwaskii wakizozaa,na sisi tunawaulizaa je SASA mumefurahiiii wenyewe hapo eeeeh??!!..

Kana kwamba hao waislam wanaoteuliwa siyo watanzania??achen roho mbaya tujenge nchii, chuki siyo mpangoo
Umejuaje hao walio chafua Jukwaa ni Wakristo??
Ona unavyo jichanganya! Muumini Mkristo Ameagizwa mke mmoja [emoji106]
Mimi mgen Nina Majiko.2
Kwa nini unaniita Mkristo?!
 
Ahsante KWA attachment,

Tunapoliadress hili,wanadhan kwamba tunaelekea kupandikiza chuki,la hasha,

Tunakumbusha kuwa kinachofanyika na watawala,hakifanyiki behind closed doors,kipo was,zama hiz huwez kuficha kitu chochote,ukipendelea kitaonekana na ukitenda haki kitaonekana,muda wa malalamiko umeshaishaa

Mkuu, mimi nashukuru sana kwa kuanzisha mada kuhusu waislamu bila uoga.

Wapo baadhi ya waislamu humu humu wakijifanya waumini wakweli kumbe waislamu jina, hawawezi kuja kuunga mkono hoja yako, alakini tembelea majukwaa ya siasa, mahusiano, michezo, udaku n.k utawakuta huko wakichangia, lakini hoja za msingi kama hizi zinazohusu waislamu tunavyofanyiwa na hawa jirani zetu hawaonekani hawa ndugu zetu. Refer, Afande sele alivyomtukama Mwenyezi Mungu, baadhi ya waislamu wakawa upande wake, na kuwalaumu kishki na mazinge, nimeshuhudia mmoja amekomenti "KISHKI NI MNAFIKI" aliecoment ni muislamu, tena wa humu JAMII FORUM, je ingetokea huyo huyo afande sele amtukane YESU mambo yangekuwaje!!!!!

Refer, masheikh wa UAMSHO, wapo baadhi ya waislamu hawasapoti kuachiwa masheikh hawa, very sad! Na ndio waislamu wenzetu wanathubutu kufanya ivo na kuwapa faida wasio waislamu. Pumzi inawahadaa, vyeo walivyonavyo vinawapa kiburi na kujiona dunia yote ni yao, wanasahau kuna umauti mbele yao. Allah atustiri
 
Umejuaje hao walio chafua Jukwaa ni Wakristo??

Wewe unadhan watakuwa ni kina nan KWA mfano,

Waislam waje jukwaani kulalamikiwa kuwa mama SAMIA anateua KWA kuwapendelea wao?

After all,tusitoke nje ya nada hii ni Letter to madam president,hakuna Tena kusikiliza kelele za malalamiko ya udini,

Aachwe afanye kazi
 
Kama Rais atatenda haki hana haja ya kujibu lalamiko lolote! Kwa vyovyote vile hataweza kufurahisha kila mtu!

Ni kweli,hataweza mfurahisha yeyote yule.

Ila na hawa jamaa zetu,wawe na aibu bbasi,wanataka kupendelewa KWA kigezo gan na wao ndiyo wamejaa huko serikalin
 
Maada kana hizi ni chukizo ungebaki nalo tu moyoni, mi hata sikujua kuw kuna jambo kama hilo, sasa nimejua,
 
Ni kweli,hataweza mfurahisha yeyote yule.

Ila na hawa jamaa zetu,wawe na aibu bbasi,wanataka kupendelewa KWA kigezo gan na wao ndiyo wamejaa huko serikalin

We jamaa ni Lipuuzi limojaa ivi hujijui tu,

Allah akbar
 
Shauri maswala ya Msingi, sio huu utumbo wa kipuuzi, unatuharibia mfungo bhana

Haya tunayoyazungumza ndiyo mambo yenyewe ya msingi,

Wewe unayaona siyo ya msingi KWA kuwa hayana umuhim kwako na infact yanakuumiza,we want you to take this and deliver to your fellows that,mama aachwe afanye kazi,hatutak malalamiko yasiyo na msingi
 
Maada kama hizi hazitujengi Waislam, nitakaa out usjari, lkn maada yako hii haina afya katika ustawi wa Taifa Lako.
 
Hat hao Wa upande mwingine wowote wale wenye fikra kama hizi, hamlisaidiii taifa, hayo ni Majungu majungu na upuuzi tuu
 
Haya tunayoyazungumza ndiyo mambo yenyewe ya msingi,

Wewe unayaona siyo ya msingi KWA kuwa hayana umuhim kwako na infact yanakuumiza,we want you to take this and deliver to your fellows that,mama aachwe afanye kazi,hatutak malalamiko yasiyo na msingi

Mama hana shida, wewe ndo umejiweka kimbele mbele kumshauri, Mama tayari anawashauri wake, huo ushauri wako hata hahitaji.
 
Back
Top Bottom