THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #41
The big show usingeanzisha uzi wenye maudhui haya ningeshangaa sana. Bado kuna yule bibi aitwaye Faiza fox naye lazima aanzishe wa hivi. Mimi ni mkristo, ila alichokuwa anafanya yule muovu jiwe cha kupendelea wakristo hasa wa kanda ya ziwa, kilikuwa wazi mno. Hata wakristo hali ile waliona, na kwenye huu uzi hawana nguvu ya kubisha ukweli ule. Jiwe alikuwa ni chukizo mbele ya Mungu.
The big show usingeanzisha uzi wenye maudhui haya ningeshangaa sana. Bado kuna yule bibi aitwaye Faiza fox naye lazima aanzishe wa hivi. Mimi ni mkristo, ila alichokuwa anafanya yule muovu jiwe cha kupendelea wakristo hasa wa kanda ya ziwa, kilikuwa wazi mno. Hata wakristo hali ile waliona, na kwenye huu uzi hawana nguvu ya kubisha ukweli ule. Jiwe alikuwa ni chukizo mbele ya Mungu.
Shukran for compliments,Mkuu, Big show umeongea point, big up. Hawa viumbe siku mbilli zizopita kama ulivyoelezea, Mh Raisi ameteuwa wakristo wa4 kati yao hakuna muislamu hata mmoja alakini waislamu hatulalamiki na wao huwaoni wakijitokeza mitandaoni....
Chokochoko za kibaguzi zinaletwa na wakristo, ndiyo historia yao siku zote angali teuzi hizo hapo juuuMkuu, Big show umeongea point, big up. Hawa viumbe siku mbilli zizopita kama ulivyoelezea, Mh Raisi ameteuwa wakristo wa4 kati yao hakuna muislamu hata mmoja alakini waislamu hatulalamiki na wao huwaoni wakijitokeza mitandaoni. Naamini mpaka sasa wakristo ni wengi sana kuliko waislamu kama sio 80%, ebu fanya research uone, pamoja na yote hayo lakini bado hawaridhiki,,, wakiona mama anateuwa muislamu mmoja ama wawili kati ya wa4 ama wa5 utasikia UDINI UDINI, yani hata 50% still imekua shida kwao, so wanataka wao tu!!!!! Hatari sana, tunapigwa vita every where, na Qur'an haijaacha kitu.
Hasa huyo the boss wakati huu ndio tumeona rangi yake halisi.Wako wengi, wengine ni Ritz & THE BOSS
Raisi akiwa ni mwislamu huibuka (hufufuka) na kuwatukana wakristo, maaskofu
Chokochoko za kibaguzi zinaletwa na wakristo, ndiyo historia yao siku zote angali teuzi hizo hapo juuu
Wakristo wengi tena wa hapa Jukwaani Mimi mwenyewe nikiwepo tulimpinga jiwe kwa Udini,ukanda na ukabila wake bila kificho chochote kile.The big show usingeanzisha uzi wenye maudhui haya ningeshangaa sana. Bado kuna yule bibi aitwaye Faiza fox naye lazima aanzishe wa hivi. Mimi ni mkristo, ila alichokuwa anafanya yule muovu jiwe cha kupendelea wakristo hasa wa kanda ya ziwa, kilikuwa wazi mno. Hata wakristo hali ile waliona, na kwenye huu uzi hawana nguvu ya kubisha ukweli ule. Jiwe alikuwa ni chukizo mbele ya Mungu.
Duh Mataga leo hii mnasema Mama ni bora kuliko Marais wote,vipi kuhusu Shujaa wenu fake wa Africa?Magufuli alikua na uafadhali kuliko NYERERE
Na Mama samia ni bora kuliko maraisi wote waliopita, labda Mwinyi atleast
All in All wakristo wko wengi mno wizarani kuliko waislamu na bado wakristo hawamridhiki. Je akifanya 50/50 si ndio watatukana sana au sio! [emoji3]
Jibu lako limenichekesha na kudhirisha kwamba hujui kwamba hujii kwamba hujui!Umeongea point, utaweza kumtambua Muislam au mkristo kwanza KWA JINA lake, baada ya hapo ndipo utaujua uhakika wake kuwa ni muumin kweli wa hiyo dini au la, that's why hawa ndug zetu walipoona majina tuh yenye muelekeo wa arabic kwenye huo uteuzi wakaconclude kuwa ni Waislam wameanza kupendelewa.
Wakristo wengi tena wa hapa Jukwaani Mimi mwenyewe nikiwepo tulimpinga jiwe kwa Udini,ukanda na ukabila wake bila kificho chochote kile.
Watu wanafikiri akiona jina Omary tu basi ni Muislamu. Tulikuwa na Jaji Ramadhan alikuwa Mkristo safi!Hivi uislamu au ukristo unatambulika kwa Majina au KWA KUYAFUATA NA KUYAISHI MAFUNDISHO YA DINI\IMANI HUSIKA?!
Naunga mkono hoja asisahau kutoa na ajira kwa watoto wa maskini walioteseka kusoma na wamefaulu vizuri wanataka na wenyewe waonje cake ya taifa..Wana Hamu kweli kwenda kuwithdraw fedha ATM.
Jibu lako limenichekesha na kudhirisha kwamba hujui kwamba hujii kwamba hujui!
Sio kila john ni Mkristo na sio kila juma ni muislamu!
Nakujibu kwa mujib wa fikra zako kwamba ukae ukifahamu!; Wanao Tesa ni Waislamu, Wakristo, na wapagani na Wanaoteseka ni Waislamu, Wakristo, na wapagani!
ww upo kundi gani? Kati ya wanao tesa na wanao teseka??
Shukran for compliments,
Nashangaa,hata kwenye huu uzi,badala ya kuangalia hoja ambayo ipo mezani,wameegemea kwenye kutushambulia watoaji wa hii hoja kuwa ni wadini,Mimi najua hiki tunachowaeleza wanakiona Sana,ila sasa hawana uwezo wa kukijibu that's why wameegemea kwenye kutushambulia moja KWA moja
Kwani aliye mshika nani?Point of additional,
Hatusemi eti KWA kuwa mama SAMIA ni muislam basi ndiyo apendelee waislam kwenye serikali yake,la hasha..
Ila pia,ikitokea amewaona waislam kadhaa wenye sifa na kuamua kuwapa nafasi basi asitazamwe KWA jicho la udini kama vile ambavyo Magufuli na wengine hawakutazamwa na kusakamwa na sisi waislam,
Wamuache mama awe free na fair kupanga team yake,wasimzongezonge
1. Allahu Akbar... Wabilah Tawfiq shehe!Madam President,naomba nikusalimie kwa salam ambayo umeipendelea Sana wewe mwenyewe kuwa NAKUSALIM KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,NA KAZ IENDELEE....
Wanajua yote haya (Wakristo waliopo wizarani ni wengi kuliko waislamu) lakini pamoja na yote haya bado hawaridhiki/hawatosheki, hata hao waislamu wachache waliomo bado ni kikwazo kwao na malalamishi mengi, je! Ikitokea usawa wa 50/50!!!!! 😀
وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ
Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara mpaka ufuate mila zao. [Al-Baqarah (2: 120)