Barua kwako Rais Samia Suluhu Hassan

Hasa huyo the boss wakati huu ndio tumeona rangi yake halisi.

Nimeaandika kuhusu maaskofu wakati wa Magufuli hukuona??.

Au nikupe links?

Siku zote tumewaponda Maaskofu humu wakati wa Magufuli ...

Ninayo thread ninam Address Kardinali Pengo kuhusu Magufuli kuongezewa muda hukuiona?
 
Mmeanza maujingaujinga yenu...
 
Wako wengi, wengine ni Ritz & THE BOSS

Raisi akiwa ni mwislamu huibuka (hufufuka) na kuwatukana wakristo, maaskofu


Andika Kwa evidence?
Kwamba mtu akisema Magufuli alikuwa mdini
Ndo automatic anakuwa mdini?
Kama ndo hivyo basi wala sioni aibu kuitwa mdini...

Au kuwaponda Maaskofu hasa Kanisa katoliki
Kwa kumtetea Magufuli na kukaa kimya wakati Tundu Lissu anapigwa risasi
Wakati Ben Saanane anapotezwa
Wakati Roma anatekwa na nchi nzima
Inawaogopa 'watu wasiojulikana'..

Kulikuwa hakuna tamko wala waraka ..
Zaidi ya kumsifia na kumpamba Magufuli
Walikuwa 'enablers to the dictator'

Kama kuwaponda hao watu ndo kunanifanya
Niwe automatically mdini yes ..call me that..
 
Nini kibaya alichomshauri?
 

Mkuu the Boss,

With all of my due respect,nikupe pole tuh ndugu yangu,

Linapokuja suala la kusema ukweli na watu wanapokosa majibu muafaka siku zote hukimbilia kwenda kumshambulia mtoaji wa hiyo hoja either KWA kumpa majina mabaya,kumtukana au kumuita mdini kama hivyo wanavyosema,

Wanachoshindwa kuelewa ni kwamba hivi vitu vikikaliwa kimya bila kusemwa vinaota sugu mwishowe huonekana kama ni vitu vya kawaida kumbe siyo vitu vya kawaida,

Tupo pamoja mkuu
 
Pambana na hali yako bro!
Akiteuliwa muislamu hakupi pilau. au mwenzetu ndio tegemeo lako kupata wepesi?? Kama ndivyo utalala mlango wazi!
Wahenga walisema Tajiri na Mali yake...
Masikini na wanae...
Hii Serikali Imesha Jibainisha Hadharani haina deen[emoji106]
 
Nina declare interest kuwa mimi ni Mkristu wa madhehebu ya RC. Na ninaunga mada mkono kwa 100%, ujumbe wako umeuweka vizuri sana.

Kwa karne hii na kwa nchi yetu tulivyo na mchanganyiko, ni upuuzi mtupu kuleta hoja za udini na ukabila. Tumekwishatoka huko, tuwaachie labda Warundi na Wanyarwanda au wale wa Myanmar.

Nimeona teuzi zote za Madam Prez SSH, ameteua watu kwa weledi wao kwenye maeneo husika. Na ninathubutu kusema kuwa ni kimlinganisha na Mwendazake, yeye SSH anateua excellent brains ili zimsaidie katika kazi na ushauri.

TUWA IGNORE wote wanaokuja na hoja za udini.
 
Watu wapumbavu siku zote hufurahi MTU Wa dini yake akipata uteuzi japo huwa hawapati tija yoyote ya binafsi katika maisha yao! Ni upumbavu tu!
 
You see akili ndogo za vita, mpaka na tusi juu. Ningekuwa karibu ungenizamisha na kisu cha tumbo.
 
Stuxnet,

Mkuu nimekusoma,great thinkers lazima wangekuja na reaction kama ya kwako,wengine wameona chuki kwenye hoja yangu,ila ww umeona uhalisia tupo pamoja
 

Kwa jinsi yule dhalimu alivyofanya natamani hata huyo mama ajaze waislamu tu ili akili ziwakae vizuri hao ccm, siku wakiona kiongozi anaanza mambo ya ajabu wamkanye.
 

Naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…